kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,356
- 493
Ngoja vikwazo vije tu ili tupate akili. Mie sioni kwa nini CCM baada ya kushindwa uchaguzi Zanzibar hawataki kuachia madaraka? Waache watu wa nje wajekutufundisha demokrasia kaana inaonekana ni somo gumu kwetu kulielewa.