funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,119
- 31,639
I have experienced 6 months without huo msaada na huduma ziliendelea...Watch out comrade!
I have experienced 6 months without huo msaada na huduma ziliendelea...Watch out comrade!
Duh mbona umecharuka namna hiyo? Misaada mitamu eeh?Hayo mazao kama mchele na mahindi na maharage unayokula huwa yanazalishwa na mabwana zako wa kizungu?
JPM yupo mpaka 2025, mumzoee tu, hamna namna!haya maamuzi myatoe kabla haijatokea sintofahamu ya sanctions.
Nchi imemshinda Pombe asubuhi sana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Tatizo we mkuu Ibilisi inaelekea ni miongoni mwa watu wasiofuatilia mambo kwa karibu.EU na america ndio tunawategemea kiuchumi ktk utalii na misaada, sasa sijui hata soko la nje tutauziaa wap
Hayo mahindi na mchele yanawasaidiaje ili kuongeza pato la taifa ? Au ni kula na kuongeza uchafu hapo Dar.?Hayo mazao kama mchele na mahindi na maharage unayokula huwa yanazalishwa na mabwana zako wa kizungu?
Watuwekee tu vikwazo ili tuwasue viongozi maana watanzania ni waoga sana iseeTaifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC. Hata hivyo serikali ya Tanzania bado haijatilia maanani jambo hilo huku ikioneknana kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki ichukue mkondo wake.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi october mwaka jana ambao ulielezwa kuwa huru na wa haki.
Haya ni mawazo ya LIJINGALAOKWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Hayo mahindi na mchele yanawasaidiaje ili kuongeza pato la taifa ? Au ni kula na kuongeza uchafu hapo Dar.?
mkuu elewa kitu kimoja hiyo misaada inaweza ikafutwa sawa tukajitaidi uzalishajiNasemaje, wafute tu misaada yote, tutafute kwa jasho letu... watu wanaitumia hiyo misaada vibaya sana... Kuna project nyingi sana chini ya USAID zinazotakiwa zilipe wafanyakazi mishahara mikubwa sana... lakini unakuja kupewa punje punje tu zote wanachukua hao wanaaojita wakubwa...
mkuu tutafoutishe msaada na vikwazo vya kiuchumi na misaada. tunaweza tukanyimwa misaada halafu tukatafuta njia ya kurecover hilo tatizo. shida ni pale unapoekewa vikwazo vya kiuchumi kiasi cha kwamba kuuza ama kununua vitu nje ni ngumu kiuhalisia hali itakuwa ni ngumu tena kwa nchi kama yetu ni bado sana. mfano irani sidhani kama wenyewe walihitaji msaaada wa fedha toka nje ila vikwazo vya kiuchumi vinawaasili hata kwa bidhaa ambazo unazalisha mwishowe mwenyewe unakaa mfano mwingine ni zimbabwe.hata kama
lkn kama NIGGERS walijitoa kimasomaso kujitoa utumwani mikononi mwao enzi hizo katika nchi yao sembuse sisi zama hizi tatzo kubwa waafrca tuna uroho wa madaraka na ndo mwanya anaoutumia mzungu kututawala yeye atajifanya yupo upande wa mnyonge kukusaidia kumbe anapenyeza yake(kama sasa znz)
kama mababu zetu waliziazisha njia za kumtoa mkoloni afrca kwann sisi tusiendeleze hizo mbio kwa kufanya ubaki uhusiano wa kibiashara tu wenye masilah kwa pande zote mbili kutokana na mkataba unavyoeleza kuliko kukaa kutegemea hao jamaa mfano nchi nyingu tungekaza uzi kuwa ka mugabe wangenyooka tu coz AFRICA ka kisima cha shamba rukaruka lkn lazima uje tu kisiimani
pumbavu zao WHITEFORKS
Mchaga katokea wapi hapa au anahusika vp na hii mada?Sawa hata kama ni siasa zimetujaa lkn Mchaga hawezi tawala hii nchi, labda aende Kenya!
Kiongozi unaposikia wanasiasa wanasema TZ itakuwa nchi ya viwanda usifikiri hili littakuwa kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu labda km tunazungumzia viwanda vya kurecyle chupa ila viwanda vikubwa inaweza chukua hata miaka 5au zaidi mfano dandote ulizia leo ni mwaka wa ngap?Tatizo we mkuu Ibilisi inaelekea ni miongoni mwa watu wasiofuatilia mambo kwa karibu.
JPM anajenga Tanzania ya viwanda hivyo miaka kama miwili ijayo kama sio miezi sita kuanzia sasa, sisi tutakuwa main exporters kwenda kwa EU, USA na kwingineko na usije shangaa bandari ya Dar es Salaam itakuwa imejaa makontena ya export hata wezi wa makontena hawatakuwa na cha kuiba ndugu!