Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,101
- 23,659
Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism.
Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha.
Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema kweli:

"Wakati Makampuni ya Kigeni ambayo yanatengeneza bidhaa tata sana, mashine na mambo mengine mbalimbali, yanapokuja Marekani kufanya uwekezaji mkubwa, nataka walete watu wao waliobobea kwa muda ili kuwafundisha na kuwafunza watu wetu jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi za kipekee na ngumu na kurudi katika nchi yao."
– Donald Trump
– Donald Trump
Najua hilo si rahisi kutokea, ok well labda tuseme wageni wakafanya uwekezaji na wakawapa mafunzo Wamarekani.
Je, hapo Mr MAGA atakuwa amerudisha manufacturing? Jibu ni HAPANA.
Bado Marekani ina shida nyingine kubwa katika manufacturing nayo ni supply chain.
Hiki ndicho kimeifanya China iwe global industrial powerhouse "strong supply chain."
Je, Trump amejipangaje kwa hilo? Tutakuwepo