Marekani imeanza ku-test Mitambo

Hizo ni story za wafuasi wa mkosa nyumba aliye lala kwenye junction ya Damascus to Jerusalem
Takbiiiiiiiirrrr acha tumpiganie tupate tiketi za vip sijui madude kama sanchoka yapo huko....takbiiiir
 
So wewe wajua zaidi ya wanaoplan mashambulizi? Hiyo haitakuwa vita bali ni mashambulizi
 
.......... Cha kushangaza na ndipo rais wao akafariki kwenye ajali akiwa ndani ya ndege moja kuukuu ya Marekani sijui hizo za Iran zilikuwa wapi siku hiyo angezipanda.😛😛😛😛😛
Hawakuweza kupata vipuri kwa ajili ys regular service kwa sababu ya sanctions
 
Kwanini US anataka kuingia vitani na Iran?
 
Nani huwa anakudanganya ndugu yangu?Hao "Ajemizz bloody turbuns" wawasumbue Amerika? That's bloody pipe-dream!
Uzuri wa Marekani hatumii uwanja wa nyumbani (nchi yake) kama sehemu ya vita, anatumia nchi jirani (mambubumbu) na adui yake, halafu pia lazima aite timu nzima kitaa kwaajili ya kwenda kupigana na mtu mmoja... Kifupi ni muoga
 
..mbona walitii amri ya mazungumzo, ni us ndyo waliwa summon Iran waende Oman, hakuna silaha ya IRAN inaweza fika USA, lakini USA sasa wanacheza karibu na mwambao wa Iran
Iran kashatoa angalizo kambi zote za US Middle East zitakua majivu ikiwemo na Israel
 
Iran kashatoa angalizo kambi zote za US Middle East zitakua majivu ikiwemo na Israel
The little Israel last time kameenda Iran kuchumbia, kakafanya yake aliyoyapenda yote (destroying selected targets) na kurudi Israel unchallenged, ndyo atamuweza GOLIATH the great?
The little Israel and GOLIATH (USA) have nuclear arsenals and Iran has NONE, nani anaweza mpoteza mwenzake?
Mna-exaggerate sana uwezo wa Iran, na wananchi bado wanaishi as if ni ktk gigantic prison.
 
Iran hana haja na ndege ata Moja nyie mue nazo Hata million yeye saivi ni kurusha TU satellite angani kuongeza shabaha zake. Ogopa Sana mtu anaweza kumkwangua sisimizi sebuleni kwako bila kugusa chochote narudia Iran sio fala
 
The little Israel last time kameenda Iran kuchumbia, kakafanya yake aliyoyapenda yote (destroying selected targets) na kurudi Israel unchallenged, ndyo atamuweza GOLIATH the great?
Wale waliosema hamasi wameisha? Lakini mpaka Sasa wamepotea njia hawaijui pakutokea? Ni kuua madaktari na kila wanaemuona mbele Yao na kuharibu visima vya maji, ndio hao unaamini wameingia anga LA mtu mbadi ayatola?
 
Vidume wa yemen
.
❗️Member of the Political Bureau of Ansarallah, Hizam al-Asad:

– "US President Donald Trump's visit to the region will not be safe unless Gaza is safe; the continued bloodshed in Yemen and Palestine will come at a high cost for Trump if he sets foot in the region."

– "The equation is clear: there will be no calm in the region unless there is calm in Gaza; and there will be no safety in the Mediterranean and Red Seas unless Gaza is secure."
 
Wale waliosema hamasi wameisha? Lakini mpaka Sasa wamepotea njia hawaijui pakutokea? Ni kuua madaktari na kila wanaemuona mbele Yao na kuharibu visima vya maji, ndio hao unaamini wameingia anga LA mtu mbadi ayatola?
..sijakuelewa kabisa, halafu ulichoniuliza hakina uhusiano wowote na nilichoandika, tumalize kwanza jambo nililoandika kuhusu nani zaidi US vs IRAN
 
Iran hana haja na ndege ata Moja nyie mue nazo Hata million yeye saivi ni kurusha TU satellite angani kuongeza shabaha zake. Ogopa Sana mtu anaweza kumkwangua sisimizi sebuleni kwako bila kugusa chochote narudia Iran sio fala
Sattelite mbona ni kitu cha kawaida sana, wamechelewa sana, hata wewe unaweza miliki satellite, jirani zetu Kenya wanayo moja na wanampango wa kurusha zingine

Kenya launched its first operational earth observation satellite, named Taifa-1.
Au wewe sattelite unamaanisha ni silaha za maangamizi?? 😛
 
Ishu sio satellite elewa bro! Hata sisi tunaweza kuwa nayo ila za muirani ni Kwaajili ya missile program zake kuongeza accuracy ya makombora. Kiasi anaweza kufagia nzi Kwenye shati lako akiwa Tehran bila wewe kufa inamaana Kama ni mguu Kuna nzi utaenda mguuu huo tu
 
🇵🇸🤝🏴‍☠️ | Hamas Praises Maldives for Banning Israeli Entry, Urges Global Isolation of Zionist Entity

• Hamas applauds the Maldivian President’s approval of the decision to ban Israeli passport holders from entering the country, calling it a brave and morally aligned move against the ongoing crimes of the Israeli occupation, particularly in Gaza.

Hamas calls on all nations to follow the Maldives’ example by isolating the Zionist entity, holding it accountable for its violations of international law, and standing in solidarity with Palestinian rights and justice.

🌟🌟🌟🌟🌟
⚠️ @GazaDailyInsights @GazaGC
 
..sijakuelewa kabisa, halafu ulichoniuliza hakina uhusiano wowote na nilichoandika, tumalize kwanza jambo nililoandika kuhusu nani zaidi US vs IRAN
Namanisha Israel ni waongo media zao
 
Technology ya kawaida sana hiyo, kumbe bado hakuwa nayo?? akina GOLIATH na Israel wanazo in hundreds, specific for military applications
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…