mazungumzo iran hakuwahi kukataa..mbona walitii amri ya mazungumzo, ni us ndyo waliwa summon Iran waende Oman, hakuna silaha ya IRAN inaweza fika USA, lakini USA sasa wanacheza karibu na mwambao wa Iran
Daah ila kuna watu wanaishi kwa mashaka haya madege yanatia wasi wasiMarekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
sijasema hivyo, ila ni US ndyo ili summon Iran for talks or face consequences, wa katii amrimazungumzo iran hakuwahi kukataa
Ndoto za macho kodo hizo au umekosea unamaanisha ulaya mashariki?Wanao mwendesha trump ni Russia na Netanyahu.Urusi anaichukua ulaya magharibi,Netanyahu anawachukia waarabu
Kama haja bargain vizuri na Russia kuhusu vita vya Ukraine hawezi kuthubutu.this time they mean business
Kwa akili yako Iran anaweza kuvimba mbele ya Marekani? Kumbuka alipoambiwa kuzungumza alikataa lakini marekani ilipokaza alikubali akitoa akiendelea kukataa kipondo kinamhusu!!!USA anautemi wa kipumbavu yaani majadiliano yanafanyika lakini unalazimishwa uyakubali hata km hayana maslahi kwa taifa lako bahati mbaya kamkuta anaemtisha sio muoga wa vita na alikuwa anajiandaa zaidi ya miaka 30+ alikuwa anajua
Usa kama anataka aaibike na kumalizia ngwe yake ikiyobaki basi amsikilize netanyahu aingie vitan na iranunaamini USA anaweza kuanzisha vita na iran? kwa level ya technology ya iran aliyofikia sasa hv asitegemee hyo vita atashinda km iraq hzo warship zake zote itabidi azirudishe nyumbani zikapumzike asizitumie kwenye hyo vita yatakua makaburi
Kama huthi pekee imeshindikana na makeria itakuwa carier . Kwanza hizo carier hatathubuti kuzipeleka huko maana haitarudi hata mojaKwa akili yako Iran anaweza kuvimba mbele ya Marekani? Kumbuka alipoambiwa kuzungumza alikataa lakini marekani ilipokaza alikubali akitoa akiendelea kukataa kipondo kinamhusu!!!
Nani a bargain na Russia?Kama haja bargain vizuri na Russia kuhusu vita vya Ukraine hawezi kuthubutu.
Houth mbona wamenyoshwa zamani, collabo ya US na IsraelKama huthi pekee imeshindikana na makeria itakuwa carier . Kwanza hizo carier hatathubuti kuzipeleka huko maana haitarudi hata moja
With two US Carrier Strike Groups (CSGs) now operating in the area, it appears that the regular Iranian Navy (Nedaja) has withdrawn from the Red Sea and Gulf of Aden station.USA anautemi wa kipumbavu yaani majadiliano yanafanyika lakini unalazimishwa uyakubali hata km hayana maslahi kwa taifa lako bahati mbaya kamkuta anaemtisha sio muoga wa vita na alikuwa anajiandaa zaidi ya miaka 30+ alikuwa anajua
Kwani israel tayari ametangazwa mshindi vita ya Gaza?? si ndio kwanza Israel wanataka ceasefire Hamas wanakataaHata kwa Magaidi wa Hezbollah mlisema hivyo hivyo!!
bado mnaendelea na mipasho akina juma lokole!Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Ikiwa USA itaivamia Irani🇮🇷, Itakuwa traped kwenye vita nyingine na Uchina ataondoka na TAIWAN yake...Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Kwani israel tayari ametangazwa mshindi vita ya Gaza?? si ndio kwanza Israel wanataka ceasefire Hamas wanakataa
Ushindi mbona uko wazi;Kwani israel tayari ametangazwa mshindi vita ya Gaza?? si ndio kwanza Israel wanataka ceasefire Hamas wanakataa
The United Nations estimates that it will cost $53bn to reconstruct Gaza, and a UNDP report released last year said it could take until at least 2040.Kwani israel tayari ametangazwa mshindi vita ya Gaza?? si ndio kwanza Israel wanataka ceasefire Hamas wanakataa
Chuma chakavu ...mbwembwe nyingi vitendo 0Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Ndio kwa sasa meli zinapita red sea na wahuth wamesitisha kurusha makomboro kwende israelHouth mbona wamenyoshwa zamani, collabo ya US na Israel
"There’s no doubt that the US campaign has degraded the Houthis’ capabilities"-CNN, Aljazeera et al
Uwezo wa marekano kuivamia Iran ni mdogo sana jeshi la Marekani ni dhaifu usidanganyike na muvi ....Ikiwa USA itaivamia Irani🇮🇷, Itakuwa traped kwenye vita nyingine na Uchina ataondoka na TAIWAN yake...
Karata zinachangwa. Huku tariff huku vita...
Uchumi wa MAREKANI hauko kwenye nafasi ya kuanzisha vita mpya sasa hivi...
Labda kushambulia, kuivuruga na kuiacha...
Breeding ground for another insurgents