Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya silaha kwenda Ukraine kupitia NATO. Kwa kufanya hivyo, rais wa Marekani ameonyesha wazi kuwa subira yake kwa rais wa Urusi imefikia mwisho
Rais Donald Trump ametangaza Jumatatu, Julai 14, kwamba angeiadhibu Urusi kwa ushuru wa forodha ikiwa hakutakuwa na makubaliano ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya siku 50, mfano wa hivi punde zaidi wa kuchanganyikiwa kwake kutokana na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Trump ametoa tangazo hili wakati wa mkutano katika Ofisi ya Oval na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte.

"Tutaweka ushuru mkubwa sana ikiwa hatutafikia makubaliano ndani ya siku 50," rais wa Marekani ametangaza. Amebainisha kuwa huu utakuwa "ushuru wa pili," akimaanisha kuwa ungelenga washirika wa biashara wa Urusi ili kuitenga Moscow katika uchumi wa dunia. "Ninatumia biashara kwa mambo mengi," Trump ameongeza. "Lakini ni bora kwa kutatua migogoro." "Kama hatutakuwa na makubaliano ndani ya siku 50, ni rahisi sana, (ushuru) utakuwa 100%, na ndivyo hivyo," ameongeza.
Nchi za Ulaya kununua kww "mabilioni na mabilioni" ya dola silaha za Marekani
Mbali na tishio la ushuru, Donald Trump na Mark Rutte walijadili mradi wa kisasa wa mtandao wa silaha wa Marekani. Washirika wa Ulaya wanapanga kununua vifaa vya kijeshi na kisha kuvituma Ukraine. Donald Trump amesema ununuzi huu utafikia "mabilioni na mabilioni" ya dola. Trump amesema amefurahishwa kuona Ulaya ikitumia gharama kubwa zaidi katika ulinzi baada ya wanachama wengi wa NATO, katika mkutano wa hivi majuzi huko Hague, kukubaliana kuongeza matumizi hadi 5% ya Pato lao la Taifa. "Wajimbi wao ni wa ajabu," Trump amesema. "Mwisho wa siku, kuwa na Ulaya yenye nguvu sana ni jambo zuri," ameongeza.

Mark Rutte amesema Ujerumani, Finland, Canada, Norway, Sweden, Uingereza, na Denmark zitakuwa miongoni mwa wanunuzi wanaowezekana wa silaha zitakazotumwa Ukraine. Ameongeza kuwa "kasi ni jambo la msingi hapa" na kwamba uwasilishaji huu unapaswa kumtia moyo Putin "kufikiria upya" mazungumzo ya amani.

"Hili ni jambo kubwa sana ambalo tumefanya. Vifaa vya kijeshi vya thamani ya mabilioni ya dola vitanunuliwa kutoka Marekani, kwenda NATO, nk., na vitasambazwa kwa haraka kwenye uwanja wa vita," rais wa Marekani amesema. Amebainisha hasa kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot itatolewa kwa Ukraine "katika siku zijazo."

"Hii ina maana kwamba Ukraine itakuwa na kiasi kikubwa sana cha vifaa vya kijeshi, kwa ulinzi wa anga, lakini pia makombora na silaha," aliongeza Katibu Mkuu wa NATO.
Zelensky anasema alizungumza na Trump na kujadili "suluhisho" za kuilinda Ukraine
Siku ya Jumatatu , wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba alizungumza na Donald Trump na kwamba walijadili "suluhisho" za kuilinda vyema Ukraine, baada ya mwenzake wa Marekani kuidhinisha kupelekwa zaidi kwa silaha huko Kyiv.

"Tulijadiliana na Rais (Trump) njia na suluhu zinazohitajika kulinda zaidi raia dhidi ya mashambulizi ya Urusi na kuimarisha misimamo yetu," Volodymyr Zelensky amesema katika ujumbe kwenye X.

===
President Donald Trump on Monday laid out a pair of steps intended to pressure Russia to end its war in Ukraine, including funneling new weapons to Kyiv and threatening economic punishment on Moscow if peace isn’t reached in 50 days, as he grows increasingly disenchanted with his Russian counterpart.

Taken together, the moves amount to a markedly new approach to the conflict, which Trump has worked to distance himself from since taking office in January. Even as he delivered the announcement from the Oval Office, the president argued he wasn’t to blame for the prolonged war.

Source CNN
 
Bado usa hujifanya ni mkubwa na kwamba anaweza kuamrisha mambo anavyotaka
 
kobazi wamekuwa wasemaji wa Kremlin

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Anaipa Urusi siku 50 kwani yeye NANI??? Miaka mitatu minne iliyopita Wamerikani na wapambe wao mbona walikimbizwa mchaka mchaka huko Afghanistani, mbona sikuona silaha zao na ndege zaa za kivita zikiwasaidia kitu ie kuwapatia ushindi!!
 
I doubt kama Trump atakwenda kwenye decision hiyo ya ku supply stronger weapons ili zikadhalilishwe na Putin again kama alivozidhalilisha silaha za Ulaya like German and France of course even UK; by doing so it means soko la silaha hizo litapoteza mvuto sokoni, chukua mfano wa juzi, ugomvi kati ya India and Pakistan, silaha za Ufaransa automatically zimepoteza mvuto na za China zinapata soko kirahisi. Tukumbuke, kitu pekee ambacho USA anakihofia duniani, ni dunia yenye amani, he is not making money on selling weapons.
 
Screenshot_2025-07-15-15-31-02-33_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Hivi karibuni Russia imebeba eneo lenye mgodi wa madini ya Lithium.

Zelensky alitaka kuwapa huu mgodi Wamarekani, naelewa hasira za Trump zinatoka wapi.
Putin ni kama swahiba ake Ayatollah, maneno kidogo vitendo vingi.

Russia Seizes Key Lithium Field in Challenge for U.S.-Ukraine Minerals Deal
 
Russia alifanya SOSI vya kutosha kabla ya kuanza vita, he knew all steps the Americans and NATO could go with. Putin anaishi mbele ya muda. Kweli jamaa ni tunda halisi la KGB. Long leave mwamba
Ula hii vita haiwezi kudumu miaka miwili ijayo.

It is not sustainable.
 
Back
Top Bottom