Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

Kweli shetani hana jipya. Zamani wachungaji Wa kilokole walikuwa wanatembelea baskeli, tai inapepea mgongoni, mguuni wanavaa katambuga!!!!!

Watu walikuwa wakicheka na kudhihaki sana kuwa...eti...ona wachungaji wao...maskini wakutupwa, hawajasoma, mbumbumbu wahedi!!!

Sasa mambo yamebadilika, Gwajima kuwa na PhD...kafoji Cheti!!!, kumiliki chopa...ooh katapeli wajinga!!!, kupata cheti cha umaarufu, duh!! Hapo wafuasi wa Lucipher wanatamani kupasuka!!!!
 
Gwajima utaua watu, naona mijitu inatoka povu balaa, songa mkuu acha wivu uwaue, hadi mijinaume nayo inawivu, unamwonea wivu mwanaume mwenzio, utaolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye sifa mtu apewe sifa zake. Yani mtu mishipa ya shingo inamtoka kwa roho mbaya kisa tuu anachuki na bishop.pambana na hali yako humuwezi either kahonga au kahongwa. Kama ni muuza madawa au freemasonry hiyo haikuhusu pambana na maisha yako. Wee kaa tuu kubisha kila kitu kwa mtu mwenye uwezo wa kununua ndege wkt ww hata bajaji huna. Watanzania tuache chuki binafsi sio kila kitu ni ushetani Mungu huinua watu.
 
askufu...afu mbona haina jina la mhusika au na yeye kafoji cheti kama yule mgoni wake DAB
ALIEKUPOFUSHA MACHO MLALAMIKIE..SOMA CHINI HIOO BARUA UTAONA JINA LA PAPAA ASK GWAJIMA
 
Jina Lipo Hapo Walipobold Kuna Bishop Josephat Gwajima
Wakati wanaambiwaa msilambee nanii awakutaka wanaonyesha umaarufu awakujua chumvi zina madhara ukubwani has a kwenye machoo
 
Kuna kitu nyuma ya pazia,lazima huyu anatumiwa kutuvuvuga,
achunguzwe.Haya mandege nk.ndio malipo yake,hana hela huyu.

Mtu kama Gwajima anapewa tuzo ya mtu mashuhuri duniani,haingii akilini,kuna shida.Kwa umashuhuri gani hasa,si chekibobu tu huyu.Ni vituko kwa kweli.
hiv kuanzisha kanisa na kulipeleka nje zaid ya mataifa matano likakubalika unaona ni sawa na kwenda arusha au tanga[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sadaka yako sio ki2 kwake,, unajua flight lecturer anapga mkwanja gan??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu, unafikiri ile PhD aliyonunua SA lengo lake lilikuwa ni nini ?

- Mmegeuzwa misukule, hamsikii wala hamwoni. Mungu kawasaidia mnajua kusoma lakini kusoma biblia mmeshindwa. Na mtaburuzwa mpaka kiama. Mchungaji tajiri wa sadaka, muumini hata ELFU TATU ya kulipia kodi ya NYUMBA Tandale
 
askufu...afu mbona haina jina la mhusika au na yeye kafoji cheti kama yule mgoni wake DAB
Kuna watu mnaudhi sana Basi tu
Screenshot_20170808-070109.png
 
Dah Gwajima naona anazidi kuneemeka mpaka kwa trump
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom