Birmingham, Uingereza au?Marekani: Askofu Josephat Gwajima atunukiwa tuzo ya mtu mashuhuri duniani huko katika jiji la Birmingham jimbo la Alabama USA![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
mabepari wanamtumia kuvuruga nchi yetu!
akirudi lazima apimwe mkojo............
Ameni mkuu
Hebu tumuacheni Jamaa,Mwenzenu katoboa kweli,wengine hapo Morogoro tu hatujafikaMtu maarufu DUNIANI?
Ametunukiwa mtu maarufu kwa lipi?
Ni lini hilo limefanyika?
Mbona hatuoni uthibitisho wa jina lake hapo?
Hatujamgusa, jibu maswali niliyouliza ili tuamini kuwa kweli amepata tuzo hiyo.Hebu tumuacheni Jamaa,Mwenzenu katoboa kweli,wengine hapo Morogoro tu hatujafika
Umeisoma hiyo Resolution?????Soma hiyo paragraph ya mwisho. sio vyeti feki kama vile za kariakooHatujamgusa, jibu maswali niliyouliza ili tuamini kuwa kweli amepata tuzo hiyo.
Kuna kitu nyuma ya pazia,lazima huyu anatumiwa kutuvuvuga,MAREKANI: Askofu Josephat Gwajima amepewa tuzo ya Mtu Mashuhuri Duniani na jiji la Birmingham lililopo huko katika Jimbo la Alabama.
View attachment 560110 View attachment 560109
Dadavua vzuri sijakuelewamabepari wanamtumia kuvuruga nchi yetu!
akirudi lazima apimwe mkojo............
Utafkiri hata hiyo sadaka ulishawahi kuitoaSasa nikipambana na hali yangu yeye atapata wapi sadaka za kufanyia matanuzi
ubarikiwe[emoji120] [emoji120] asante kwa uwepoWaswahili lugha za wivu mtaacha lini ? Mbona siku zote mmekuwa mkiwaabudu wauza madawa ya kulevya na mafisadi na kuwaona wana akili kwa sababu wana hela?.Gwajima ni mashine kubwa hakuna wa kumlinganishia naye hapa ndani ya nchi.Huyu bwana ni Kichwa akili kubwa.Acheni kabisa kumkejeli wala kukebehi huduma ya kimungu anayoitoa.Ni mtumishi wa Mungu wa kweli tena mpakwa mafuta wa Bwana mwenye karama ya upako. Mimi si muumini wake na wala sijawahi kukanyaga kanisani kwake lakini nimemfuatilia kwa kina sana na kufanyia utafiti machapisho na mahubiri yake .Ana karama ya kuombea watu wagonjwa wakapona,ana uwezo wa kutafakari mambo kwa upana ,Lakini ana waumini wengi sana zaidi ya Millioni Moja kwa muda mfupi alioanza kuhubiri injili.Ana mtandao mpana dunia nzima.,Gwajima ni mtu mwingine.Najua mtamwita tapeli, mwongo na majina mbali mbali ya kubeza huduma yake.Lakini tambueni ya kwamba ayafanyayo ni kwa uwezo wa Mungiu anayemuinua. HALELUYA ??
Mkuu upo ? Umepotea sana.