Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!


Hahahaaaaa..... Nina raha ajeeeeeee..... Inv ashafanya kazi yake... Yeuwiiiii sijui nimpe zawadi gani???
 
Jeska,marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico Kwa kweli nashukuru sana kwa mwaliko wenu, ila muwe mnatoa mualiko huo kabla, maana wengine tulikuwa tumeshaplan kwenda kwingine ndiyo maana sikuweza kutokea hapo, Pia KAKA MTAMBUZI jana nilimtafuta ili nimwambie sitoweza kuwepo , akawa hapatikani inawezekana simu yake ilishikwa na mama ngina Loh!
 
Niombe samahani Avatar na User name fake kwa kosa gani?


ah ah ah...!
Hawa baada ya kutoka serena naona wameludi makwao, hapa kwa Mjeda nimetoka kama dk 15 zilizopita hawapo

naomba kujuzwa hivi huyu anayejiita sir kernel ndo @nakufa mpenzi wangu???
 
Hahahaha....kweli nimeamini kwa nini ulikua mkali, next time watch your steps loh!!! "I am dying my love" has been merged with .....

Niombe samahani Avatar na User name fake kwa kosa gani?
 
halafu mdogo wanu huyu Vin Diesel hakufai kabisa mpaka leo hajalipa faini ninayomdai..............muulize anajua alinikosea.

Jaman jaman....mbona unanididimiza kabisa kwenye harakati zangu za kulinda ndoa hapa....
Mie niliahidi kurekebisha makosa yangu....nipe muda na nafasi pulizi
 
Last edited by a moderator:
Jaman jaman....mbona unanididimiza kabisa kwenye harakati zangu za kulinda ndoa hapa....
Mie niliahidi kurekebisha makosa yangu....nipe muda na nafasi pulizi

hapana kama hata shemeji ambaye kwa nafasi nyingine ndiye aliyepokea mkaja wa mama unamtenda visivyo huyo mkeo je?? si zaid ya hayo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…