Kuna cha ajabu hapa. Ni ni lazima uende A level ndo upate degree? lol
RIP Richard Nyaulawa
..kuna siku nilipost hapa kuwa alikuwa mgonjwa sana ...siku hiyo ndio alikuwa amerudishwa kutoka india baada ya juhudi za kumtibu kansa ziliposhindikana....MUNGU AMREHEMU.......!!!
NDUGU WANA JF ..UNAPOONGELEA WATANZANIA WAJASIRIAMALI AGGRESSIVE..WAZAWA..JINA LA RICHARD NYAULAWA ...LITACHOMOZA....
NI MTU ALIYEKUWA HAPENDI KUJIONESHA ..NADHANI ANGEPENDA KUJULIKANA ..ANGEJULIKAANA ZAMANI...SANA..KWANI HUYU AMEANZA KUMILIKI GAZETI KABLA YA MENGI...MOJA YA MAGAZETI YA KWANZA ..MAJIRA NA BUSINESS TIMES....KUNA WAKATI YALIKUWA TOP SELLING.......LAKINI WAANDISHI WAKE AMBAO NA HUMU WAMO...HAWAKUWA NA INSTRUCTIONS ZA KUMTANGAZA TANGAZA.....
ANAMILIKI MAKAMPUNI MENGINE..PIA KWA KUSHIRIKIANA NA WAZAWA WENGINE KAMA MZEE MBUGUNI..na wengine,hawa na wenzao wengine walikuja kuanzisha BENKI YA KWANZA KUMILIKIWA NA WAZAWA........FIRST ADILI BANK...BAADAYE WALIFANIKIWA KUWAUZIA SHARE NSSF..NA BENKI SAA INAITWA ....AZANIA BANKCORP..........
MUHESHIMIWA RICHARD NYAULAWA R.I.P...TUNAWEZA KUMPA HESHIMA LAKINI INAWEZA IKAWA HAITOSHI...KUTOKANA NA TABIA YAKE YA KUWA LOW PROFILE..NINA IMANI KUBWA KUWA MUNGU ATAMNYANYUA KWA NIABA YETU....KAMA MWENYEWE ALIVYOAGIZA KWENYE MAANDIKO..KUWA ATAWAINUA WASIOJIKWEZA!!!!
Inna-llillah-ina-lillahi -wairujuin (wana madrasa kama nimekosea nisameheni). Mungu akujalie(Mzee Nyaulawa) malazi mema.Mungu ailaze roho ya marehemu peponi.
Wana JF huku tukiwa tunaendelea na msiba wa huyu mheshimiwa wetu, ningependa kutupa mpira mmoja uwanjani. Mnakumbuka kuwa huyu ni mbunge wa tatu kutoka same constituency kufariki? is it just a coincidence or is it a made up phenomenon? mnaoweza jaribuni ku-unlock hii kitu.