marehemu kanumba vs jb nani umemkubali

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,208
2,000
nmeangalia muvi nyingi sana za. marehem kanumba na kwa ufupi tu huyu jamaa nmemkubali nadhan angekua moto wa kuotea mbal lait angekua hai ila mbali na hapo kuna jamaa anaitwa jb muvi zake nlikua nmeziona chache ila wiki hii nmeangalia kazi zake kibao na nmemkubali kupita maelezo. kwa upande wangu wote nawakubali toa comments zako kuhusu nani unaemkubali
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,245
2,000
ngoja niache nyayo, nilipita hapa jaman....................
 
white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Kanumba alikua nomaa si unaona sasa hivi bongo movie ilivyojichokea,wadada wamekosa fursa tena,kina wema wamefungua makampun jina tu hata hayana kazi,the great noma sema Lulu mbayaaaaaa jamani
 
Davet

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
42,170
2,000
Naona unafananisha maruti na buggati,Kanumba ni buggat na Jb n maruti .Kanumba zaid.
 
theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Utafananishaje uhai na kifo wewe?Sasa hivi JB mkali sababu yupo hai Kanumba alishakufa tunamkumbuka tuu.Labda useme kanumba na sajuki yupi alikuwa mkali.
 
serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
6,936
2,000
nmeangalia muvi nyingi sana za. marehem kanumba na kwa ufupi tu huyu jamaa nmemkubali nadhan angekua moto wa kuotea mbal lait angekua hai ila mbali na hapo kuna jamaa anaitwa jb muvi zake nlikua nmeziona chache ila wiki hii nmeangalia kazi zake kibao na nmemkubali kupita maelezo. kwa upande wangu wote nawakubali toa comments zako kuhusu nani unaemkubali

The living against the dead? Au JB ni living dead sis hatujui??
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,072
2,000
Tokea Kanumba afariki hata sijuagi kama kuna kazi zinaendelea kuchezwa.

Ray nae alikua anasafiria nyota ya Marehemu, sasa hivi kazima kama mshumaa.!!!
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,018
2,000
toka kanumba amefariki bongo muvie imekosa ladha na uchangamfu wa zamani. hasa kwa vicent kigosi
 
white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Utafananishaje uhai na kifo wewe?Sasa hivi JB mkali sababu yupo hai Kanumba alishakufa tunamkumbuka tuu.Labda useme kanumba na sajuki yupi alikuwa mkali.

Aaaaa wapi yaan pamoja na kanumba kufa lakin filamu zake zote hazijafa maana twaziona na filam za hawa wengine wote hazifikii za kanumba hata robo
Kanumba alikua anawachezesha wengine bana kwenye kuigizaa wanaonekana wanajuaaa lakin wako wapi sasa hiv wanagiza hovyo tuuuuuuuu
 
theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Aaaaa wapi yaan pamoja na kanumba kufa lakin filamu zake zote hazijafa maana twaziona na filam za hawa wengine wote hazifikii za kanumba hata robo
Kanumba alikua anawachezesha wengine bana kwenye kuigizaa wanaonekana wanajuaaa lakin wako wapi sasa hiv wanagiza hovyo tuuuuuuuu
Wewe umeangalia Movie ngapi mpya za JB toka Kanumba amefariki?Inawezekana wewe unamfananisha JB wa enzi za Kanumba ila sasa hivi ni 2013 tunaenda 2014 kwa sanaa yoyote hazitafanana.Sema wewe unamtetea Kanumba bcoz he was your number one.Lakini hata siku moja usifananishe kifo na uhai.Wewe kama huwa unaangalia movie sasa hivi KIBONGO BONGO wanajitahidi japo msafara wa mamba lazima kenge wapo aka mizigo ipo.
 
Noooooo
 
Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,241
2,000
Kunumba ni zaidi kwa mambo mengi,kwanza alikuwa anafit kila sehemu akiamua kuigiza kijana mtanashati,mshamba,kichaa kijana wa kijijini au wa mjini,msomi,mjinga,mhuni,kijana mtuliv,pastor pote alikwa anafit sana tu na alikuwa akiuvaa uhalisia mpaka unasema eeh kweli huyu pastor au mshamba lakini Jb sidhani kama ataweza kuigiza kma kichaa au wa kjijini na akafit vilivyo na kuuvaa uhusika kama Kanumba alivyoweza kufanya.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,628
2,000
jb ni mkali toka kitambo sana hata kanumba (UKA) aliiikuwa haoni ndani labda ufananishe uhandsome.
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,547
2,000
Kanumba alikua nomaa si unaona sasa hivi bongo movie ilivyojichokea,wadada wamekosa fursa tena,kina wema wamefungua makampun jina tu hata hayana kazi,the great noma sema Lulu mbayaaaaaa jamani

Ya jamaa bhna alikuwa ni hatari,sijui alikuwa mchawi,we muangalie aunt ezekiel kwenye young billionaire halaf muangalie na kweny movie nyingine,muangalie wema sepetu kwenye point of no return halaf muangalie kwingine,alikuwa akiwatumiwa wasanii basi anawatumia vilivyo,alikuwa hafanyi makosa yule,sijui nani tena atakuja kuziba pengo lake
 
mapugilo

Senior Member
Oct 9, 2012
128
225
Jb ndo tasnia yenyewe ni MTU asiye kuwa na makuu nidharau kumlinganisha na marehemu think great b4 posting
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom