Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

Pro - Chadema wakati mwingine jaribuni kutumia akili zenu.

Hivi Marando akimtangaza Dr.Slaa ndiyo mshindi wa urais mtakimbilia ikulu siyo.

Hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria namshangaa sana Marando ni mwanasheria lakini anataka kuwaadaa wafuasi wa Chadema.
 
Naona wewe mnywa viroba ndio unaakili
 
Mimi nimemuweka marando kwenye kundi lisilotaka mageuzi tz simwamini hata kidogo.
 
Pro - Chadema wakati mwingine jaribuni kutumia akili zenu.

Hivi Marando akimtangaza Dr.Slaa ndiyo mshindi wa urais mtakimbilia ikulu siyo.

Hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria namshangaa sana Marando ni mwanasheria lakini anataka kuwaadaa wafuasi wa Chadema.

Yaani wewe kila unachoandika ni uharo mtupu hivi vitu vinavyohitaji high reasoning capacity huviwezi nenda kapige madufu tu.....
 
Sijaisoma hiyo sheria, je Tume ya Uchaguzi kabla ya kutangaza hizo takwimu itabidi zihakikiwe na Ofisi ya Takwimu ya Taifa?

kumbe ndio maana haka ka sheria kandamizi kameletwa kwa dharura hivi.
wamejifunza kwenye chagahuzi za serikali za mtaa,jinsi wananchi walivyo kuwa wakipashana matokeo .
sasa ndio naanza kupata picha halisi.
 
Marando hawezi kueleweka kwa washabiki, wanachama na kundi tiifu la Lumumba Book 7 FC tu kwani kauli hiyo ni kifo kwao. Wamezoea kuchakachua matokeo na lazima tuwapige mapema sana kwa kushinda zile Big zones! Nilikuwa naangalia takwimu kumbe mikoa kama singida kwetu wapiga kura ni laki saba tu. Mwaka huu misukule ya Lumumba vibarua vinaota nyasi japo itabidi mtusamehe ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania.
 
Ameshanusa harufu ya kushindwa kaona bora atafute pakuanzishia fujo.anamawazo ya kijinga unakua na chama kina washauri kama hawa sasa hili si tatizo,huwezi kutegemea mtu msomi kama marando anaongea upuuzi kama huu lakini mtu kama marando anapo jichanganya na watu kama kina mbowe tufikiri ataongea nn zaidi ya haya .kusema atatangaza matokea mapema ni upuuzinkuliko upuuzi wenyewe

kama ni sindando imekuingia vilivyo! mapambano yanaendelea! hakutakua na mzaha ktk hili la kudhibiti wizi wa kura! pole san! huna hoja zaidi ya kujadili watu!
 
Yaani wewe kila unachoandika ni uharo mtupu hivi vitu vinavyohitaji high reasoning capacity huviwezi nenda kapige madufu tu.....
Mrembo wa JF naye eti kajenga hoja.

Teh teh teh
 
Wana JF,Hivi tunapoteza muda kuzungumzia Nyaucho. CDM wenyewe kama ni makini hawawezi kumsikiliza nyaucho wenye akili wanamfahamu kuwa ni :A S-rap::A S-rap::msela:
 
mkuu, tuache upotoshaji kuhusu kiini macho cha eti Lyatonga yuko upinzani.

huyu mtu hakuwahi kuwa kwenye upinzani hata siku moja. hakuwahi kuondoka CCM na hadi leo hii yupo huko.

Siyo kwamba amerudi baada ya mambo yake kuwa magumu huko upinzani?
 
Tunahitaji majasiri Zaidi kama Marando... Huu uoga ndo imesababisha CCM wajione wako juu ya sharia ....
 
Back
Top Bottom