Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

Nape ndio anayemuharibu huyu jamaa na walienda wote Mtama Lindi kwenye maigizo ya Nape kujiandikisha.

Mpumbavu Sana kwanza mwanaume kufikia hatua ya kujiita bikira ni bora tu avae na pedi!!

Huwa nashangaa Sana wanaomwita mwanasheria kwa reasoning yake ya kima!!!
 
Kweli hili swala namuunga mkono kamanda marandu
Na mwaka huu tukitangaza matokeo yetu halali tukiona tume ya ccm inataka kuchakachua tunajitangaza wenyewe na kujiapisha kama Kibaki kule kenya
Tumechoka na udanganyifu wa tume hii ya kijani
 
Huyu ni kichaa kabisa hajui hana mamlaka ya kutangaza matokeo? Huku ni kujifurahisha tuu na kuwafurahisha chadema...akifanya hivyo atakuwa ametenda kosa na jinai na atachukuliwa hatua.

Nchi hii imejaza vichaa sana...

Zitto Kabwe amekuwa akitangaza matokeo Facebook hata majimbo ambayo Chadema walipoteza kabla ya tume haijatangaza. Hivi umo kichwani huwa unasumbuliwa na nini? Unafahamu ni kwa nini mawakala wanapewa na kusaini copy za fomu za matokeo? Huu ni msiba.

Matokeo ya majimbo tutapatiwa humuhumu na hakuna kima yeyote mwenye uwezo wa kuzuia hilo.
 
Labda awatangazie wanachadema sio watz kwani hayatatambulika
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima

Tv Channel Ten waliwahi kufanya hivyo kwenye uchaguzi wa Zanzibar. Lakini "wenye" nchi yao hawakukubali ukweli
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima
huyu kamanda ni tegemeo kubwa sana , nadhani huyu na kubenea ni kati ya wananchi wachache ambao uzalendo wao uko juu sana .
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima

Hii inawezekana it is not a rocket science. Wote tunashuhudia jinsi vituo vya BBC, CNN etc vinavyo tangaza matokeo hata kabla ya kuwa rasimu yaani kutangazwa na respective tume za uchaguzi.

Kinachotakiwa ni UKAWA kuweka wakara kila kituo cha kupigia kura, na kutumia fomu za wakara kujumlisha mtokeo ya uchaguzi wa jimbo husika na finally kufanya majumuisho ya nchi nzima kwa nafasi ya Rais.

Kumbuka kila wakara hutoka na a signed copy ya matokeo ya kituo chake, both for diwani, mbunge na rais.

That is possible, mbona Buhari alitangaza na kusherehekea ushindi wake kabla ya kutangazwa na tume ya uchaguzi ya Nigeria, kwanini Tanzania isiwezekane?!
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima

akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa anawataka watanzania kundamana na kupinga EPA, akiwa mahakamani anawatetea mafisadi wa EPA, huyo ndio marando tunaomfaham wala hatusumbui
 
Hapo ni sababu ya kuwadanganya misukule inatafutwa!

CHADEMA inafahamu haiwezi kushinda uchaguzi wowote ule !

Sasa wanawaandaa misukule wao kisaikolojia!
cdm ina wanachama wa kutosha kuipa ushindi , sasa itashangaza ccm yenye wanachama mil 3 ( baada ya wengi kupukutika ) ikishinda , safari hii haiibiwi hata kura moja .
 
Sheria ya Takwimu kama imepitishwa itakula kwake.

Hata kama sheria ya takwimu haijapitishwa atakuwa ametenda jinai akifanya hivyo...maana matokeo yanayo aminika na ambayo huwa ni halali ni yale yanayo tangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi!

Huyu ana wadanganya sana wana chadema...
 
Akitoa mada jana katika sherehe za chasso nilimulewa sana...kikubwa alipambanua mambo kiuhalisia sana...
 
cdm ina wanachama wa kutosha kuipa ushindi , sasa itashangaza ccm yenye wanachama mil 3 ( baada ya wengi kupukutika ) ikishinda , safari hii haiibiwi hata kura moja .

Naona unafanya commedy....wana chadema wengi ni kelele tuu na si wapiga kura..msijidanganye kushinda....
 
mwaka huu tumejipanga kulinda kura kuliko miaka yote ccm mwaka huu kuiba kura msahau kabisa kwani huu mwaka lazima muondoke madarakani bila vurugu wala fujo .Marando kila heri .
VOTE FOR UKAWA.
 
Hayo mamlaka ya kutangaza matokeo atayapata wapi?
 
Back
Top Bottom