Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

hawa watu ndiyo tunaowahitaji kwa wakati huu. Safi sana mzee, shikamoo Mabere Nyaucho Marando
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala. Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima
Itategeme atatangaza nini?NI habari ingine ya mashaka.
 
Mchumia tumbo huyoo.anawa adaa mumuone mtuu kumbe ccm damuu
 
Bora atangaze hii tume haiaminiki hata kidogo. Wakati wowote wanabadilisha utaratibu was kutangaza matokeo. Kama mwaka 2010. Siku ya kwanza walianza vizuri baada ya kuona slaa anaongoza Maeneo mengi ilipofika SAA kumi jioni wakaairisha mpaka kesho yake SAA sita. Huo mda wote hapo katikati walikuwa wanachakachua nini?
 
Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima

Wakili aliyebobea anatangaza na kujivunia kuvunja sheria tulizojiwekea, kazi kweli kweli!
 
.Tatizo lijaanza hapa wapiga kura wengi wanapoachwa bila kuandikishwa. Zoezi linavyoendelea ni kama vile kuna watu maalum watandikishwa kwa makusudi na malengo fulani yaliyojificha. Ili yadhihirike wakati wa kutangaza matokeo. HIVYO, MKAZO NIKUHAKIKISHA KILA MWENYE SIFA AANDIKISHWE HATA KAMA BVR NA SIKU SABA ZIMEISHA. Muda uongezwe katika maeneo yatakayohitaji muda zaidi.
 
Hoja siyo kutangaza matokeo, hoja ni matokeo unayotangaza yanatambulika na vyombo ulivyokubali kisheria kuwa msimamizi wa uchaguzi.
 
Kauli ya Mabere Marando kuwa atatangaza matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeweka wazi mpango wa UKAWA wa kujitangazia ushindi hata kama ikitokea kuwa umoja huo haujashinda uchaguzi mkuu wa oktoba, 2015 na kutimiza azma yao ya nchi hii kutokutawalika hivyo inapaswa kulaaniwa na wapenda amani nchini kote.
 
Kuna watu walishinda uchaguzi wa serekali za mitaa, hawakutangazwa wala kuapishwa mpaka raia wakaamua kuwaapisha wenyewe kisheria,

hii unaisemeaje??/?

kwa uchaguzi unaokuja tumeisha ona mifano, ninadhani hii itatoka kwa wabunge na maeneo mengine, maana mnakuwa na kigugumizi, kutangaza ushindi ukiwa wa upande wa pili.
 
Nice of you! Huyo CCM hawezi kufikiri zaidi ya kope zake za macho kama walivyo CCM wenzake. Ya karagwe Kyerwa ameyasikia ambapo wenyeviti wote wa vijijij 33 wameshinda kesi dhidi ya CCM, hayajui hayo kwa vile ni CCM
 
Kauli ya Mabere Marando kuwa atatangaza matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeweka wazi mpango wa UKAWA wa kujitangazia ushindi hata kama ikitokea kuwa umoja huo haujashinda uchaguzi mkuu wa oktoba, 2015 na kutimiza azma yao ya nchi hii kutokutawalika hivyo inapaswa kulaaniwa na wapenda amani nchini kote.

Matokeo yako vituoni!!

Sasa kujumlisha na kutangaza hayo matokeo yasiyo rasimi kuna tatizo gani!!?? Wizi tu wa kura ndiyo unatusumbua Tanzania......... bila wizi wa kura hakuna kitu cha kubishana hapa!!
 
Mnaanza kuweweseka eenh!!! Tufate matakwa wananchi wanataka nini, wananchi wakisema no, nyie akina nani mseme yes?
 
Maalim Seif anashinda Zanzibar tangu 1995,na hajawahi kutangazwa mshindi na Tume Uchwara/CCM,naungana na Marando 100%,mnazingua sana MAGAMBA
 
Kauli ya Mabere Marando kuwa atatangaza matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeweka wazi mpango wa UKAWA wa kujitangazia ushindi hata kama ikitokea kuwa umoja huo haujashinda uchaguzi mkuu wa oktoba, 2015 na kutimiza azma yao ya nchi hii kutokutawalika hivyo inapaswa kulaaniwa na wapenda amani nchini kote.

Wewe muuza unga, umekuja tena huku?
 
Kauli ya Mabere Marando kuwa atatangaza matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeweka wazi mpango wa UKAWA wa kujitangazia ushindi hata kama ikitokea kuwa umoja huo haujashinda uchaguzi mkuu wa oktoba, 2015 na kutimiza azma yao ya nchi hii kutokutawalika hivyo inapaswa kulaaniwa na wapenda amani nchini kote.
Mbona umepanic blaza, punguza povu doz ikuingie mzee
 
Back
Top Bottom