hakika nakuambia Marando akiwa kama mwanasheria anayejua sheria hawezi kufanya hivyo! Hizi ni siasa tu anachagiza
Mkuu inawezekana sana.Haya matokeo kila Jimbo yanabandikwa mara wanapomaliza kuya hesabu huku Mawakala wa UKAWA/Chama husika wakiwa na nakala za matokeo yenyewe na hayo ndiyo atayatangaza kadri kila jimbo linapobandika na mawakala kuwasilisha ripoti kwa Chama husika.