Abbasy
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 123
- 9
utumbo huoKama kuna mtu anawachukulia hawa CDM seriously basi akapime akili!
Wote CDM na CCM wanacheza mchezo uleule wa kunufaisha matumbo yao!
Ndio maana baada ya kupata oppurtunity tu ya ruzuku wameanza kujichotea pesa zetu walipa kodi!
Inasikitisha vijana wanaojifanya wasomi wameuza loyalties zao kwa genge hili la wahuni wakina MBOWE na LEMA!