Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Uanasheria wa Marandu umesaidia kujua mengi kama hayo vinginevyo tusingeyajua. Marandu anafanya kazi yake aliyoajiriwa tofauti na fikra zako. Kwa sasa tunajua kumbe Nape anaingia kwenye mtego bila kujua yupo kwenye nyumba ya vioo vitupu