Marando na Prof Safari nao wamcharaza Nape ile mbaya

Kama kuna mtu anawachukulia hawa CDM seriously basi akapime akili!
Wote CDM na CCM wanacheza mchezo uleule wa kunufaisha matumbo yao!
Ndio maana baada ya kupata oppurtunity tu ya ruzuku wameanza kujichotea pesa zetu walipa kodi!
Inasikitisha vijana wanaojifanya wasomi wameuza loyalties zao kwa genge hili la wahuni wakina MBOWE na LEMA!
utumbo huo
 
Inasikitisha sana, aliyetoa taarifa hii ni mbabaishaji wa kutupa na inashangaza CDM wamemuamini vipi aende kujibu hoja nzito ya mshahara mnono wa Slaa! Kwamba amepewa mshahara mzuri kwa kuwa ali-sacrifice ubunge akijua wazi kuwa angeshinda akaenda kwenye Urais ambao alijua wazi kabisa angeshindwa! Na kweli akashindwa, sasa chama kinamlipa fadhila na kum-compensate malipo yanayofanana na Ubunge! Shame on him...anajipambanua na kutaka kuwashawishi watu kuwa ni mpenda haki na usawa huku aki-negotiate apewe mshahara mzuri kwa kuwa amepoteza ubunge na marupurupu yake kwa kukibeba chama - he is trying to portray a picture of a fighter with a higher up cause kumbe he does not even believe in the cause per se, and nevertheless what he is fighting for! This is very low! He is nothing but a mere hypocrite, soon Tanzanians who had started to believe in him would know him in his true colours and forget all about him!


Huyu daktari kanjanja ..aliyefukuzwa kwa kufurumishia Wagonjwa muziki wa maspika naye anaongea......si akaweke mambo sawa jimboni mwake ....ndio maana anaitwa houseboy wa BASHE.....!!!...Go back in your constituent...it is rotting..underneath...you will soon find yourself sinking.....
Yule mwenye jina lake nasikia mmekubaliana uwe unalilipia ?? ....alikuwa aalikwe bungeni kama mgeni wa bunge.....ingekuwa habari kali kweli!!

Well coming to the point ...tuache hawa watu wanaotaka ku divert hoja za msingi za ufisadi ....wa nchi kwa kuleta vitu minor vya mishahara...au malori....kwanza nashangaa Daktari kwa heshima yako kabisa unakubali na wewe kuimba wimbo wa Nape ...wakati unajuwa anachemsha big time ...
 
Huyu daktari kanjanja ..aliyefukuzwa kwa kufurumishia Wagonjwa muziki wa maspika naye anaongea......si akaweke mambo sawa jimboni mwake ....ndio maana anaitwa houseboy wa BASHE.....!!!...Go back in your constituent...it is rotting..underneath...you will soon find yourself sinking.....
Yule mwenye jina lake nasikia mmekubaliana uwe unalilipia ?? ....alikuwa aalikwe bungeni kama mgeni wa bunge.....ingekuwa habari kali kweli!!

Well coming to the point ...tuache hawa watu wanaotaka ku divert hoja za msingi za ufisadi ....wa nchi kwa kuleta vitu minor vya mishahara...au malori....kwanza nashangaa Daktari kwa heshima yako kabisa unakubali na wewe kuimba wimbo wa Nape ...wakati unajuwa anachemsha big time ...

- Sasa hapa ndio busara zinapogonga mwamba, Nape anaongelea pumba lakini zimekutoa pangoni mpaka umekuja kuimba wimbo ule ule wa Nape, wa mishara na malori! aghrrrr siasa bwana!

FMEs!
 
Tunachohitaji watanzania kitakachotusaidia ni elmu ya uraia na elimu ya kujitambua...na hili ndilo wanalofanya CDM kwa sasa (ila kama kuna mdau ana objection nalo anakaribishwa kuchangia).Nadhani si siri kua ndani ya CCM na serikali yake kiongozi anayeonekana kuwa mchapakazi na mpinga ufisadi ataandamwa na vigogo wa ufisadi..nani asiyejua kua Mh.Magufuli alikua anabadilishwa wizara mara kwa mara "ili kumkata maini asioshe"!anayebisha hilo anhitaji maombezi tu.kwa msingi huo huo CDM wanachofanya kinaonekana,wangapi walikua wanajua fedha zetu zinavyoibiwa,kama Dr.Slaa angekua mzushi unadhani serikali ya JK ingemuacha atambe tu?pia suala la kua data za ufisadi kudaiwa zinatolewa na watu walioko kwenye mfumo ndio wawape CDM halina nafasi sana cha msingi ni je taarifa hizi ni za kweli au uongo,mfumo wa kupata taarifa hua ni wa ki-intelijensia si lazima kila mtu atajiwe techniques.Hivi enzi zile za mzee Lyatonga akigombea ubunge TMK ma Abdul Cisco mtiro wa CCM,Mrema alitoa tuhuma kwa Rais mstaafu Mkapa za kula milioni 900 pamoja na waziri wa fedha(Mh mbilinyi by that time),CCM walisema mengi lakini finally waziri na naibu wake waliondokakujiuzulu).ninachotaka kusisitiza ni kua kutaka kujisafisha kupitia mgongo wa Dr. Slaa ni uvivu wa kufikiri.kamwe uchafu hauondolewi kwa uchafu mwingine wa kudandia watu.nadhani Nape ameanza kucheza madogoli ambayo hajui hatma yake,pia kama watanzania hamjashtukia sasa ni mfumo wa kurithishana serikali na chama pia,,tafutateni takwimu mtaona kila palipo na viongozi wa serikali/chama watano watatu wamewachomeka watoto wao kwenye mfumo hata isivyo halali(sina tatizo na wale wanaopata nafasi ki halali) CCM tudanganyeni lakini kuna siku itakua historia kenu kuongoza.Tuamke watanzania.mwenzako akimwaga ugali we kula mboga!!!!
 
Tunachohitaji watanzania kitakachotusaidia ni elmu ya uraia na elimu ya kujitambua...na hili ndilo wanalofanya CDM kwa sasa (ila kama kuna mdau ana objection nalo anakaribishwa kuchangia).Nadhani si siri kua ndani ya CCM na serikali yake kiongozi anayeonekana kuwa mchapakazi na mpinga ufisadi ataandamwa na vigogo wa ufisadi..nani asiyejua kua Mh.Magufuli alikua anabadilishwa wizara mara kwa mara "ili kumkata maini asioshe"!anayebisha hilo anhitaji maombezi tu.kwa msingi huo huo CDM wanachofanya kinaonekana,wangapi walikua wanajua fedha zetu zinavyoibiwa,kama Dr.Slaa angekua mzushi unadhani serikali ya JK ingemuacha atambe tu?pia suala la kua data za ufisadi kudaiwa zinatolewa na watu walioko kwenye mfumo ndio wawape CDM halina nafasi sana cha msingi ni je taarifa hizi ni za kweli au uongo,mfumo wa kupata taarifa hua ni wa ki-intelijensia si lazima kila mtu atajiwe techniques.Hivi enzi zile za mzee Lyatonga akigombea ubunge TMK ma Abdul Cisco mtiro wa CCM,Mrema alitoa tuhuma kwa Rais mstaafu Mkapa za kula milioni 900 pamoja na waziri wa fedha(Mh mbilinyi by that time),CCM walisema mengi lakini finally waziri na naibu wake waliondokakujiuzulu).ninachotaka ku-aka kujisafisha kupitia mgongo wa Dr. Slaa ni uvivu wa kufikiri.kamwe uchafu hauondolewi kwa uchafu.CCM tudanganyeni lakini kuna siku itakua historia kenu kuongoza.Tuamke watanzania.mwenzako akimwaga ugali we kula mboga!!!!

- Mkuu na Zitto alipokuwa ananyimwa fomu ya Mwenyekiti ilikuwa ni CCM au Chadema?

FMEs!
 
Hivi bado kuna watu wanamjadili Nape?Labda kama ni maneno yajibiwe tukwa tahadhadhari kwa kuwa yanaweza kuleta madhara,kama ilivyo kwa mwendawazimu anayeweza kutamka tusi ambalo watu wenye staha wanashindwa kujizuia kuona aibu wakati huo huo wakijiepusha nao kujishusha kiwango!
 
Well Said Nguruvi yangu!



Mhe Kigwangalla,
Ninashindwa kuelewa hoja ya mshahara mnono wa Dr Slaa kama ulivyoianisha.
Milioni 7.5 ni pesa nyingi kama utalinganisha na kima cha chini, lakini ni mshahara mdogo sana kama utalinganisha na mishahara mingine iliyosiri. Nadhani utakubaliana nami kuwa aliyekuwa mkurugenzi wa TANROAD moja ya tuhuma ambazo hazikuwahi kukanushwa ni kulipwa mshahara milioni 20. Tukiangalia mishahara ya viongozi wa mashirika ya umma kama NSSF,PPF n.k utaona kiwango cha katibu wa chama kikuu cha upinzani nchini ni cha kawaida sana.

Bunge limepiga marufuku wabunge wake kuweka mishahara na mafao yao hadharani,leo hii hatujui ni mamilioni kiasi gani wewe na wenzako mnalipwa mkiwa Dodoma ndani au mkipiga soga nje na kutojua mnapigia kura hoja gani ( rejea kauli za spika)

Mshahara wenu umewekwa kidogo ili kuepuka kodi, lakini ukweli ni kuwa mafao mnayopata kwa mwezi ni mamilioni ya kutisha.
Wewe per diem yako ni kiasi gani na kwanini ulipwe tukijua kuwa Dodoma ni kituo chako cha kazi? Unajua PD yako moja na nusu ni mshahara wa mwalimu na kama utakaa dodoma siku 10 ni sawa na mshahara wa Daktari/Engineer kwa mwezi n.k Ukweli ni kuwa per diem zako zinatosha kumlipa Dr Slaa mshahara japo wa miezi miwili kwa mwaka, sasa fikiria kwa wabunge 320!!

Mheshimiwa, Kama alivyo katibu mkuu wako, Dr Slaa ana majukumu sawa sawa, na pengine yake yana mashiko zaidi kwasababu utanzania kwake kwanza kabla ya uchama. Kiwango cha 900,000 cha mafuta kwa Dr(gazeti mwananchi) ni kidogo sana ukilinganisha hela za mafuta za katibu mkuu wa CCM zinatoka bungeni ( makamba mbunge wa kuteuliwa). Jiulize katibu mkuu wa CCM anapokuwa mbunge wa kuteuliwa anamwakilisha nani kama si ujanja wa kuvuna pesa kwa matumizi ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM anaposafiri kwa shughuli za chama gharama zote ni za serikali tena hata mkewe akiwa ziarani gharama hizo ni kodi zetu na si za CCM. Hivi ukiweka gharama zote hizi ndani ya CCM, mwenyekiti na katibu wake mishahara yao inaweza kufikia kiasi gani kwa mwezi ukilinganisha na milioni 7.5 za Dr Slaa!

Tuhuma za Katibu wako mwenezi Nape(gazeti mwananchi) kuwa 7.5M ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi kama ruzuku hayana msingi na ni ya kupuuza. Kama mshahara ni matumizi mabaya mbona hajaongelea Kagoda/EPA zilizochotwa kusaidia CCM si kwa mishahara bali hongo zenye jina tamu la Takrima. Je yale mabango ya kampeni yaliyochapishwa Canada(millions) kwa ruzuku toka serikalini ni matumizi mazuri ya ruzuku?

Suala la mishahara liachwe kwa chama na wanachama wa CDM, ili mradi hesabu zinakagulika na kukubalika. Ruzuku maana yake ni kuimarisha vyama si kwa kuchapisha mabango ya kampeni bali kuwa mipango endelevu ikiwa ni pamoja na kuwa na waajiriwa wa vyama.

Kama unadhani mshahara wa Dr ni mkubwa, basi ninakuomba uweke mshahara wa mbunge hapa ikiwa ni pamoja na kodi anayokatwa, marupu rupu yote,pamoja na mamilioni ya mfuko wa jimbo yasiokagulika ili tuweze kulinganisha na milioni 7.5.
Kama hutatuwekea hapa basi huna maadili ya kiroho 'moral authority' ya kumnyooshea kidole Dr Slaa, na ikiwa hivyo unyamaze kimya uwe na amani kwa miaka 5, nikiamini kuwa unamwoga Mwenyezi mungu na unafiki ni dhambi ambayo usingependa kunasibishwa nayo.

Ahsante
Nguruvi
 
Nimefurahishwa na hoja moja ya Makamba wakati akijiuzulu "nawatangulia kwenda kuwaandalia makao" Makamba aliamaanisha kuwa kutoka kwake ni kuwa anaenda kuwandalia makao hao wanaokuja kuwa mwisho wa ccm umefika mwisho. hivyo kuondoka kwa Makamba alimaanisha kuwa anakwenda kwaandalia kambi baada ya kushindwa.
 
Ninatatizwa na jambo moja, Huyu Komu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoa taarifa hii kwa nafasi yake au kwa niaba ya? Nadhani angezubgumzia suala la mshahara wa Dr. Silaa ingawa nalo si kitu muhimu kwa wakati huu kuwaitia waandishi wa habari. Nimesoma taarifa hii kama ilivyonukuliwa kwenye gazeti la Tanzania Daima la ijumaa. Ninachoona, ni majibizano kati ya mtu mmoja mropokaji, mnafiki na nmchumia tumbo (NAPE), dhidi ya mtu mwingine asiye na subra na asiye makini na kile anachojibu (KOMU). Komu alipaswa kujibu kwa ufupi na kwa hoja nzito bila kwenda nje ya mstari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom