Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Jk chapa kazi mkuu hawa wahuni hawana jipya wapotezee unajukumu la kutumikia watanzania siyo kujibu wahuni.
 
Mkuu, hakika i enishangaza sana. Yaani Profesa mzima anaiga tabia za wavuta bangi akina Lema, Sugu, Wenje na Nassari!

liziboni uta ya kata maneno yako kesho baada ya kikao cha bunge mchana.
 
- Wewe umechaguliwa lini kuwa msemaji wa mtaani? hahahahahah kumbe unajipendekeza so unadhani wengine wote ni kama wewe unaona unajivua nguo mwenyewe

Le Mutuz
Unaibu waziri wa Bi mkubwa usikupe jeuri...
 
Kuna watu huwa walengo la kupoteza lengo la topic husika,na kuingiza mambo yasiyo na tija humu,ishu ya lipumba imetoka wapi hapa,jibu hoja.
 
Mkuu umesema kweli, vistory vya kuungaunga tuu ili mradi Rais achafuliwe. Marando aliambiwa athibitishe ataweza?

haja shinikizwa kusema,ina maana hata akishikizwa kusibisha ata sibitisha,stay tuned jf so much more,,!
 
Hivi hujiulizi raisi wa nchi mwenye mamlaka ya kuagiza karibu kila kitu anashindwa kumshitaki Marando?

Nasema hivi kwasababu najua hawatathubutu kumshitaki.

Najiulize serikali inashindwaje, kumakamata singasinga( Mmiliki wa PAP), inashindwaje kuiagiza Stanibic kutoa orodha ya wanufaika? Kuna siri nzito hapo.
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Nadhani kitu muhimu ungeeleza ukweli unaoufahamu wewe,badala ya kukanusha tu bila kuleta majibu yako,sakata la escrow bado lina maswali mengi yasiyo na majibu,kwani hata wanufaika wa escrow kupitia stanbic hatujaambiwa ni akina Nani,tunahitaji majibu ya maswali Haya!!!!
 
Hakuna jinsi ya kusafisha tuhuma hizi zinazokabili Ikulu yetu zaidi ya kuwekwa wazi walionufaika na mgao wa pesa hizi za umma. Kuwaficha waliopata pesa kupitia Stanbic bank ni kuzidisha ukweli wa tuhuma zinazomkabili Rais na Ikulu kwa ujumla. Sakata hili halijaisha kwakweli,mambo bado ni mazito.

Huo ndo ukweli hii ngoma ndo kwanza inaanza kukolea na kadri siku zinavyosogelea uchaguzi hayo majina yaliyofichwa tutayasoma humuhumu JF tuombe uzima.
 
Najiulize serikali inashindwaje, kumakamata singasinga( Mmiliki wa PAP), inashindwaje kuiagiza Stanibic kutoa orodha ya wanufaika? Kuna siri nzito hapo.
Si rahisi kiasi hicho. Singa singa ni mwekezaji kama walivyo wawekezaji wengine
 
Jk chapa kazi mkuu hawa wahuni hawana jipya wapotezee unajukumu la kutumikia watanzania siyo kujibu wahuni.

Bila kutajwa majina ya wanufaika wa escrow kupita stanbic bank, hakuna namna bali JK ANAHUSIKA.
 
Kwamara ya kwanza niliposimama na kupaza sauti kuwa familia ya Rais yaani kikwete mwenyewe ndio wamiliki wa PAP kupitia Simba Trust. Lakini watu walinipinga na kunidhihaki,

Sasa sauti ya wengi inasikika.

Mkuu mlipe kwanza yule kijana uliyemdhulumu haki yake,,huwezi kutapeli laki2 je ndio ulivyofundishwa CHADEMA?
 
I have been daying the same from day one of my comments on this saga.

Bongo watu wanamuogopa sana rais.

JK mwenyewe amenukuliwa akisema keamba ana shaka akistaafu atashitakiwa.

i concur with you, Kikwete ni part of the game. Natamani Rugemarila azungumze ya moyoni
 
Back
Top Bottom