Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Ila Familia ya Padre Mzinifu ndo si shida?

Mkuu, umezoea kuandika kwa kufurahisha watu nini?

Mkuu umesema kweli, vistory vya kuungaunga tuu ili mradi Rais achafuliwe. Marando aliambiwa athibitishe ataweza?

Watu waliozoea kunywa gongo na viroba utawajua tu kwa comments zao

Ingekuwa Amri yangu LIPUMBA asingeingia uraiani mpaka baada ya mwaka.

sema hawa watawala sasa hivi wana huruma sana, mtu anavuruga Amani ya Nchi na bado anaachiwa kwa dhamana?

Mkuu, hakika hawezi na hatakuja kuweza. Marando naye ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine waliojazana ndani ya ukawa

Mnatetea hata visivyotakiwa kutetewa NYAMBAFU!
 
Mwenye hoja ni Marando,sio Kubenea.
Mjibu Marando kwanza
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz
 
Kwamara ya kwanza niliposimama na kupaza sauti kuwa familia ya Rais yaani kikwete mwenyewe ndio wamiliki wa PAP kupitia Simba Trust. Lakini watu walinipinga na kunidhihaki,

Sasa sauti ya wengi inasikika.
 
- Wewe umechaguliwa lini kuwa msemaji wa mtaani? hahahahahah kumbe unajipendekeza so unadhani wengine wote ni kama wewe unaona unajivua nguo mwenyewe

Le Mutuz

Le Mutuz, you always amaze me kwa uchangiaji wako tu.

Nahisi kwa wakati fulani kichwa (akili) chako kinakosa busara kabisa.
 
Kwamara ya kwanza niliposimama na kupaza sauti kuwa familia ya Rais yaani kikwete mwenyewe ndio wamiliki wa PAP kupitia Simba Trust. Lakini watu walinipinga na kunidhihaki,

Sasa sauti ya wengi inasikika.
Yeriko, kwani nani asiyekujua kuwa wewe ni kibaraka wa Saed Kubenea! Upuuzi anaoandika Kubenea na wewe unaandika huo huo
 
Hii ngoma ya ESCROW bado mbichi kabisa na safari hii lazima imguse na Mkulu,Moto utawaka tu bungeni!
 
kutomjibu Marandu itakuwa hatari kwa taifa
Ubavu wa JK kumjibu Marando unadhani anao?

Hili jambo kutokana na ushahidi uliopo hadi sasa, it's obvious mkulu ana mkono wake katika ukwapuaji wa mabilioni ya Escrow.

Swali moja tu dogo, ni kwa nini mkulu 'alikomalia' kudai kwenye kikao na wazee wa Dar kuwa pesa ile siyo ya umma bali ya mtu binafsi.

Sasa iweje başı pesa ya mtu binafsi ile vichwa vya watu wengi, akina Werema, Maswi, Tibaijuka na 'kiporo' chake Muhongo?!
 
Ingekuwa Amri yangu LIPUMBA asingeingia uraiani mpaka baada ya mwaka.

sema hawa watawala sasa hivi wana huruma sana, mtu anavuruga Amani ya Nchi na bado anaachiwa kwa dhamana?
Kumbuka ule msemo unaosema Mungu sio Athumani.

Tafsiri yake ni kuwa Mungu siyo gamba MUSSA ALLAN aka MSALANİ!
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

!
!
🙂#$@&"?=#🙂&$@🙂&$@&#=/+"?! 🙂@$$$ zako
 
Ubavu wa JK kumjibu Marando unadhani anao?

Hili jambo kutokana na ushahidi uliopo hadi sasa, it's obvious mkulu ana mkono wake katika ukwapuaji wa mabilioni ya Escrow.

Swali moja tu dogo, ni kwa nini mkulu 'alikomalia' kudai kwenye kikao na wazee wa Dar kuwa pesa ile siyo ya umma bali ya mtu binafsi.

Sasa iweje başı pesa ya mtu binafsi ile vichwa vya watu wengi, akina Werema, Maswi, Tibaijuka na 'kiporo' chake Muhongo?!
Rais Kikwete hana muda mchafu wa kujibizana na Marando. Mjadala wa ESCROW umepoteza muelekeo.

kuhusu huo unaosema ni ushahidi, hakika mnajidanganya sana. Mpaka sasa hakuna mahala ambapo JK kahusika na hoja ya escrow. Akina kubenea wanajaribu kuunga unga ili mradi mkono uende kinywani
 
Hakuna jinsi ya kusafisha tuhuma hizi zinazokabili Ikulu yetu zaidi ya kuwekwa wazi walionufaika na mgao wa pesa hizi za umma. Kuwaficha waliopata pesa kupitia Stanbic bank ni kuzidisha ukweli wa tuhuma zinazomkabili Rais na Ikulu kwa ujumla. Sakata hili halijaisha kwakweli,mambo bado ni mazito.
 
- Wewe umechaguliwa lini kuwa msemaji wa mtaani? hahahahahah kumbe unajipendekeza so unadhani wengine wote ni kama wewe unaona unajivua nguo mwenyewe

Le Mutuz
kibajaji alimshinda baba ako, na wwe kwa akili hii utamuweza kibajaji kweli, bora wanamtera waendelee kumuacha Lusinde kibajaji awaimbie taarabu
 
Hivi hujiulizi raisi wa nchi mwenye mamlaka ya kuagiza karibu kila kitu anashindwa kumshitaki Marando?

Nasema hivi kwasababu najua hawatathubutu kumshitaki.

wakitaka ngoma inoge wamshitaki marando,ndio utajua makachero wa chadema walivyo,hapo tuna watekewnya tu,waki cheka na sisi ina kula kwao,kila kitu tunaweka wazi,toka esceow ime anza umesha wahi kumsikia marando akiongea kitu,tafakari alikuwa wapi.?
 
Kikwete ni mhuni sana kama familia yake imesunda hela yote ya kampeni safari hii tunaweza tusione hata mabango ya mgombea wa CCM kama yatakuwepo yatakuwa adimu kama kalenda za SIMBA SPORTS CLUB. Mchizi kawaaribia kisha katokomea na hela za kampeni.
 
Rais Kikwete hana muda mchafu wa kujibizana na Marando. Mjadala wa ESCROW umepoteza muelekeo.

kuhusu huo unaosema ni ushahidi, hakika mnajidanganya sana. Mpaka sasa hakuna mahala ambapo JK kahusika na hoja ya escrow. Akina kubenea wanajaribu kuunga unga ili mradi mkono uende kinywani
Wezio wamebadilisha password
 
Back
Top Bottom