Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Kama alidiriki kuiba wali akiwa jeshini na akatangazia umma sembuse mabilioni ya pesa?
 
Mwandishi mwenyewe said kubenea lile jizi lenye mdomo mwekundu ha ha ha ha.

kubenea kichwa chake kinawaza kupewa hela mda wote ni zaidi kunguru aliwahi kupewa hongo ndogo sana ili kumchafua mtu.
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Ni punguani tu ndiye hajui kuwa fedha za escrow ni fedha za kikwete na familia yake.
 
Attachments

  • IMG_12545521128305.jpeg
    IMG_12545521128305.jpeg
    40.6 KB · Views: 715
Tukubali tukatae, jk na ikulu wanahusika na sakata la escrow 100%. Kikohozi kilichotolewa na jk siku ya kuzungumzia sakata hili kilionyesha wazi rais anajua mchezo wote. Ingekuwa mataifa yenye taasisi madhubuti kikwete alipaswa kuondoka ikulu mara moja!

Kwanini sasa walimwonwa mama Tiba? Very unfair indeed.
 
Mwandishi mwenyewe said kubenea lile jizi lenye mdomo mwekundu ha ha ha ha.

kubenea kichwa chake kinawaza kupewa hela mda wote ni zaidi kunguru aliwahi kupewa hongo ndogo sana ili kumchafua mtu.

Mbona wewe hukumwumba ili umpe mdomo ambao siuo mwekundu?
 
Hii kitu imeliacha Taifa uchi, japo kuna vijiutetezi vya kulazimisha Ili tuamini kuwa hili suala halihusu wakuu lkn bado wingu ni Zito sana,Sasa Marando kaamua kujilipua ngoja tuone na kumtaja Mkuu wa kaya waziwazi namna hii Ni wazi ana uhakika na akisemacho.
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Kumbuka anaiongelea taasisi kubwa nchini, na kujiamini nikutokana na chanzo chake cha taarifa anakiamin. Kama uongo afunguliwe mashtaka huyu mabere marando.

Na kweli waziri wa fedha aliponaje pale?, Gavana nae aliponaje pale?
Ama mwanasheria mkuu alinena dhamana zao?
 
ili kubwa jinga halijui kuwa tulioko mtera tunaona ujinga anouandika kwenye mitandao, kama ndo wewe bora mara mua lusinde aendeleee
Wewe sijui kama akili yako inatofauti sana na ile ya zubeda.
 
Kikwete anajua kwamba hajaweza kukusanya kiasi alichotaka awe nacho na pesa za ESCROW zilikuwa ndizo tumaini lake la mwisho!
Pesa alizotegemea kupata kutoka Muscat anasema ni kiasi kidogo sana kwa watu wenye hadhi ya uraisi!
*Kikwete anategemea kununua shares kwenye makampuni ya nje na sasa hivi anataka vumbi likishapita ajiondokee kwa amani akaanze biashara ya Security Equipments (deal lake la kwanza litakuwa kuuza vifaa vya kijeshi!!!!!!)
Duu.... İntelejensia yako nı kali kupita maelezo!
 
Kumbuka anaiongelea taasisi kubwa nchini, na kujiamini nikutokana na chanzo chake cha taarifa anakiamin. Kama uongo afunguliwe mashtaka huyu mabere marando.

Na kweli waziri wa fedha aliponaje pale?, Gavana nae aliponaje pale?
Ama mwanasheria mkuu alinena dhamana zao?
Unajenga hoja kwa kutumia kigezo gani sioni mantiki ya hoja yako unabwabwaja tu kama ndege mkiwa juu ya mti.
 
Nyie machizi ya ukawa bora mkaendelee na mandamano ila siyo matumizi ya akili hamyawezi.

Toilet paper, once your use of cleaning your masters' butts is over,tupa kuleee...muulize Hizza Tambwe,Paul Makonda naye ndiyo anapotea baada ya kutumika!
 
Back
Top Bottom