Marando acha kudanganya watu,mbona kampuni yako ya mawakili na washirika wako ndio mlienda mahakamani kuzuia bunge lisijadili? Na kumtetea Sing? Leo unatuambia habari gani? Wewe ukiwa mikutanoni ulikuwa unalia na wizi wa EPA lakini ni wewe Marando uko mahakamani kuwatetea hao wezi,tuondoleeni upumbavu wenu,mambo haya yanawezekana Tanzania tu,nchi nyingine wanakupiga mawe