Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

Rugemalila ni mtu ambaye anatakiwa kukamatwa na kufikishwa kwenye mikono ya sheria. Nashangaa kwa nini ukawa hawashinikizi hilo. Hata kwenye maazimio ya bunge hakukuwa na azimio la kumtaka Rugemalila kuwajibishwa

...Tigo pesa kwangua hii vocha
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

umri wako na thinking capacity does nt march?
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Wewe ----- kila mtanzania anajua kama jk ndie mwenye dili alafu wewe unatetea sikuelewi kabisa le mutuz
 
Hana kosa kwani Si alilipa Kodi faida yake akagawana na jamaa zake, akiwemo Mbowe , Mnyika,lema , wenje na wenzao ingawa wengine wasanii akina Lema na Mnyika walivuta pesa Kote Kote mpaka Kwa Sethi kabla ya kuhamia Kwa mengi wakavuta nyingi na kuwa full vigeu geu, Hiki ni kipindi cha kuvuna pesa Kwa Wabunge hususani wale wabunge Wenye Asili za usanii na wizi , kila mmoja Yupo busy anabuni yake ili atokee huko huko apate pesa za Kampeni humo humo.
Acha uwongo. Ruge anatakiwa aeleze PCCB sababu zilizopelekea kumgawia Chenge, Yona na Ole Naiko mshiko. Hili la akina Mbowe na Mnyika ni uongo wa mchana kweupe. Anayetoa rushwa ana kosa la kuhonga.
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz
rudi INSTAGRAM ukashike makali.o na mabebz wakaree, huku tuachie sisi
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Usilete kichwa Nazi humu,hapa siyo page yako ya insta au blogs za kikuda,peleka pumba huko na mwili mkubwa wa kubeba na fuso,mtoto haramu wa malicela
 
We huku hapakufai uwezo wako wa kuchambua mambo kwa kina ni mdogo sana nenda kule kwa watoto wenzio mnaogombania soda zenye majina Le kubwa jingaaazzzzzz.
Mkuu mbona wewe akili yako kama ya ngamia tu mwenzako amechangia vizuri kwa hoja lakini wewe ndiyo umeandika kituko.
 
Acha uwongo. Ruge anatakiwa aeleze PCCB sababu zilizopelekea kumgawia Chenge, Yona na Ole Naiko mshiko. Hili la akina Mbowe na Mnyika ni uongo wa mchana kweupe. Anayetoa rushwa ana kosa la kuhonga.
Kwani wewe hela yako ukimpa rafiki yako au mama yako unapaswa tena kueleza kwanini uliwapa.
 
Kuna watu huwa walengo la kupoteza lengo la topic husika,na kuingiza mambo yasiyo na tija humu,ishu ya lipumba imetoka wapi hapa,jibu hoja.

Hilo ndiyo lengo lao hao jamaa. Kama hawana hoja huja na mkakati wa pamoja wa kubadilisha topic! Nashukuru kwa kuliona hilo. Hizo namba si ajabu wako ofisi moja. It is not a coincidence.
 
Rugemalila ni mtu ambaye anatakiwa kukamatwa na kufikishwa kwenye mikono ya sheria. Nashangaa kwa nini ukawa hawashinikizi hilo. Hata kwenye maazimio ya bunge hakukuwa na azimio la kumtaka Rugemalila kuwajibishwa

Kwa hiyo bunge ni ukawa peke yao......ushasahau kamati ya maazimio iliongozwa na Kilango Lemutuz
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa ivile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz
Hivi na wewe nasikia unataka ubunge uko kwenu? Ha ha ha jamani hata hao wananchi wa mtera watakuwa awajitambui Kama itatokea watakupeleka bungeni
 
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!

Le Mutuz

Mkuu, bado unaishi kwa mzee Jumanne na mama wa kambo au ulishatoka??Tusije kuwa tunajadiliana na "wavulana".
 
Hana kosa kwani Si alilipa Kodi faida yake akagawana na jamaa zake, akiwemo Mbowe , Mnyika,lema , wenje na wenzao ingawa wengine wasanii akina Lema na Mnyika walivuta pesa Kote Kote mpaka Kwa Sethi kabla ya kuhamia Kwa mengi wakavuta nyingi na kuwa full vigeu geu, Hiki ni kipindi cha kuvuna pesa Kwa Wabunge hususani wale wabunge Wenye Asili za usanii na wizi , kila mmoja Yupo busy anabuni yake ili atokee huko huko apate pesa za Kampeni humo humo.
Wakati haya yakitokea serikali ya chama chetu cha ccm imelala usingizi mzito but still tunang'ang'ania madarakani-aibu yenu
 
Back
Top Bottom