Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Mwenye mamlaka ni Rais mkuu, alichofanya Nape kama rais asingekizungumzia basi Nape kwa wakati alikuwa na mamlaka kwa muda ule wa utendaji kazi wa kamati na kuipokea baada ya hapo mamlaka yanabaki kuwa kwa rais baada ya kupokea mapendekezo. All in all mamlaka ni ya Rais kwa ujumla wake
Nashukuru mkuu. Kwa leo tuishie hapa. Ila kuna mengi sana yanayoendelea HATUYAJUI.
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Kumbuka nape tangu aanze siasa HAKUWAHI KUSIFIWA NA ZAIDI YAKUPONDWAKILA SIKU.

Hivyo lilikuwa nijambo geni sana kwake kuona anasifiwa na watu haswa ktk kipindi hiki cha sakata la madawa.

Akalewa sifa.
 
Issue ni kwamba Nape alikuwa na options mbili baada ya rais kuongea pale Ubungo
1. Kama alikuwa hakubaliani na rais angevunja ile kamati na kujiuzulu uwaziri. Hii ni kwa sababu mwelekeo wa rais kuhusu swala hili ulishaonekana
2. Nape angevunja kamati na kukaa kimya.
 
Hlafu ujue jambo moja. Nape alifanya uchunguzi na kujua ni nini hasa kilichotekea ndipo akatoa maamuzi. Yeye Magufuli alitoa maamuzi bila kufanya uchunguzi na kujua undani wa scandal yenyewe ulikuwaje! Hivyo Nape alitumia nafasi yake kama waziri kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake!

Nape alianza kulaani hata kabla ya ripoti ya tume
 
Issue ni kwamba Nape alikuwa na options mbili baada ya rais kuongea pale Ubungo
1. Kama alikuwa hakubaliani na rais angevunja ile kamati na kujiuzulu uwaziri. Hii ni kwa sababu mwelekeo wa rais kuhusu swala hili ulishaonekana
2. Nape angevunja kamati na kukaa kimya.
Bravo Great Thinker!
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Msingi wa bandiko lako ni Upi??
Kwamba Makonda hakua na kosa ila Nape alitaka kumuonea??
Au Makonda alikua na kosa ila Nape alitakiwa amuachie tu asimfanye kitu??
 
Mission ya kupambana na Makonda ilipangwa toka baada ya kumalizika kwa mkutano wa Bunge dodoma, Nape akapewa special task huku akisaidiwa kwa karibu sana na Bashe na Msukuma...Clouds wamepewa pesa nyingi sana na zilitokea kanisani Ubungo, unashangaa jambo linabamba leo na kamati fulani ya Bunge inafika on time....na mambo mengine mengi sana ambayo siyasemi hapa nicjepata taabu, so ukiyachanganya yote na hayo nliyosema ndio maana Magu kaamua kufanya maamuzi magumu na kumsapoti Makonda, Nape ametumika kitambo sana na namshauri akae kimya maana kila kitu kipo ktk fingertip za mbaba
 
Bravo Great Thinker.
 
Nimesikitishwa sana jinsi Nnape alivyoonesha hali ya ukaidi na kiherehere cha kushughulihikia suala la Mkuu wa mkoa la kuingia studio ya Clouds TV bila ya kuhusisha wakubwa zake au kuachia mamlaka zinazohusika zifanye kazi.

Kauli zake zenye kuleta chuki kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hazileti picha nzuri ukizingatia wote ni wateule wa mh.Rais John Pombe Magufuli.

Haileti picha nzuri alipokuwa waziri wa Habari kukurupuka na kutoa kauli zenye kuegemea upande mmoja kuhusu suala la Makonda.

Vilevile hakupaswa kuunda tume kwani hakuwa na mamlaka hayo bila kuwasiliana na mamlaka za juu.

Vilevile kuna vyombo maalumu vingeweza kushughulikia suala hili bila ya kuonesha upendeleo na chuki binafsi. Kuna Tume ya maadili ya viongozi ambayo ingeshughulikia suala hili

Nnape baada ya kutumbuliwa hakupaswa kuendelea kuchafua Hali ya hewa kwa kutoa kauli za uchochezi mbele ya waandishi.

Kauli kama ILI MBEGU IOTE LAZIMA IOZE haina tija kwa Taifa balo kwa sasa limeelekeza nguvu zake katika nchi ya VIWANDA.

Kwa kauli zake Nape ameikosea nchi na kuonesha hana nia njema na Taifa letu.

Kamati ya maadili ya CCM yapaswa kumshughulikia na ikibidi apewe adhabu kali hata kuvuliwa uanachama.
 
Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)
Hizi ni fikra za watu wenye kuongozwa na mtu na siyo taasisi (hapa taasisi ninamaanisha sheria na vyombo vyake). Yaani kutekeleza majukumu yake, Waziri mpaka apate baraka za Rais? Sasa aliwateua nafasi hizo kwa ajili ya nini? Si afanye kazi zote mwenyewe?

I'm not a fan of Nape, I have never been one, and I will never been one. Lakini katika hili, alikuwa sahihi alivyofanya, na mwishowe kaishia kuonewa na baba Bashiitee...
 
Hivi nape aliunda tume ili iweje labda? kwa sababu alishahukumu kabisa kwamba Tasnia imebakwa, sasa hiyo tume ingekuja na majibu tofauti na mtizamo wake angekubali? Yeye alitakiwa kuwa neutral kwanza asubiri majibu ya tume ili achukue hatua au kushauri. Kwa jinsi alivyolishughulikia tatizo inaonesha wazi alikuwa na lake moyoni kabla. Alitumia mihemko badala ya busara,
Kwani taarifa ya tume nape alikuwa anaitolea maamuzi yeye au alisema anaipeleka kwa wakubwa zake?
 
Hizi ni fikra za watu wenye kuongozwa na mtu na siyo taasisi (hapa taasisi ninamaanisha sheria na vyombo vyake). Yaani kutekeleza majukumu yake, Waziri mpaka apate baraka za Rais? Sasa aliwateua nafasi hizo kwa ajili ya nini? Si afanye kazi zote mwenyewe?

I'm not a fan of Nape, I have never been one, and I will never been one. Lakini katika hili, alikuwa sahihi alivyofanya, na mwishowe kaishia kuonewa na baba Bashiitee...
Wewe unakofanya kazi hujawahi kupewa kazi na ukaelekezwa kwa mujibu wa majukumu yako unatakiwa kuiwakilisha kwa boss wako kabla haujaikabidhi kwa utekelezaji !!????
Tusijitoe fahamu kwenye mambo ya msingi. Mmekuwa watu wa ajabu sana. Kutetea upuuzi kwa kuwa unakinzana na Serikali.
 
Sijawahi kuajiriwa bruh...usifikire 'dunia' unayoishi wewe kila mtu anaiishi....

Sasa serikali yenyewe ya kipuuzi...kazi yake ni kuzalisha upuuzi, unaotokana na viongozi wapuuzi...upuuzi ni identifier ya serikali chini ya sadist dikteta uchwara Magufuli...
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
At least alifanya kitu sahihi
 
Sijawahi kuajiriwa bruh...usifikire 'dunia' unayoishi wewe kila mtu anaiishi....

Sasa serikali yenyewe ya kipuuzi...kazi yake ni kuzalisha upuuzi, unaotokana na viongozi wapuuzi...upuuzi ni identifier ya serikali chini ya sadist dikteta uchwara Magufuli...
Kama hujawahi kuajiriwa huna moral authority ya kuhoji yaliyotokea juu ya NAPE na Mwajiri wake (RAIS).
Keep Calm and be whatever that makes you Jolly.
UZALENDO KWANZA VYAMA VYA SIASA BAADAE.
 
Mambo ya ndiyoooooooooooooo ndo yametufikisha hapa!wewe ungekaa kimya yeye kaongea shida iko wapi?
 
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi

Tangu lini umekuwa Katibu wa Baraza la Mawaziri au msemaji wa Baraza la Mawaziri??
 
Heeeeee! Yamekua hayo tenaaaa![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom