Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
You've spoken my mind
Kuna watu wanafikiri wanaweza kuendesha nchi wakiwa nje ya Ikulu. Nonsense
Rais ameonyesha kwamba anashinikizwa kufanya maamuzi kufuata matakwa ya watu na alitoa msimamo hadharani kukataa, hivi Nape hakumuelewa!??
Kauli ya JPM kwamba hapangiwi WA kuteua au kutengua ilibeba ujumbe mzito.Tunajua kuwa Marais wote baada ya Mwl.Nyerere walikumbwa na tatizo hili. Utakumbuka JK aliwahi sema Urais wangu hauna UBIA, Mkapa hivohivo, Mwinyi yeye ndio aliwahi kufungasha mizigo kabisaaa, akatoka Ikulu akarudi Zenj kupinga kuingiliwa na Mwl. Nyerere, inadaiwa wazee walimfuata kumnasihi
Nape naye anampush JPM, kamlazimisha ndani kashindwa sasa katokea nje kumchonganisha na RAIA, huyu in mtata haswa.
Mtakumbuka enzi za JK mwenyekiti CCM Nape alichomekea Falsafa ya kujivua gamba bila Ridhaa ya wenzie, hii ilikuwa operation kubwa ya kuwafukuza kina Lowasa CCM
 
Hlafu ujue jambo moja. Nape alifanya uchunguzi na kujua ni nini hasa kilichotekea ndipo akatoa maamuzi. Yeye Magufuli alitoa maamuzi bila kufanya uchunguzi na kujua undani wa scandal yenyewe ulikuwaje! Hivyo Nape alitumia nafasi yake kama waziri kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake!

Kumbuka Raisi anavyombo vingi ambavyo vinampa taarifa kuliko Nape!
 
Soma kitabu acha ujuaji. Umeniomba vitabu vitatu mimi maktaba!?
Kama hujaona namna gani utaelewa then hakuna haja ya kuendelea na hii hoja kati yangu na wewe. Kila la kheri.
....ujuaji wewe ndiyo unaujua...adios
 
Hlafu ujue jambo moja. Nape alifanya uchunguzi na kujua ni nini hasa kilichotekea ndipo akatoa maamuzi. Yeye Magufuli alitoa maamuzi bila kufanya uchunguzi na kujua undani wa scandal yenyewe ulikuwaje! Hivyo Nape alitumia nafasi yake kama waziri kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake!
Duuh hivi unaijua taasisi ya uraisi? Kwamba Nape ana taarifa za kutosha juu ya lile tukio kuliko raisi? Mkuu kama hivi ndivyo ulivyo ufahamu wako wa mambo haya basi muombe radhi mleta mada kwa kumkosoa pale juu.
 
Umesema kweli ambayo wengi wanaikwepa.
Nape hakuwa na sababu kabisa ya kufanya alichofanya.Kwa ujumla muhemko unaosababishwa na umri nao tatizo.Nafasi zipo kwenye chama kubwa kuliko uwaziri,wazee wanastaafu na angefaa sana huko.Sasa ndiyo basi tena.

Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
 
Sitali kuamini kwamba jamaa hakuomba bila ushauri kwa mkubwa wake, bila shaka nape alipata baraka za waziri mkuu asingekulupuka tu aliomba ushauri na kupewa go ahead.
 
Umeongea point mkuu ila subiri watz
 
Hizi ni fikra za watu wenye kuongozwa na mtu na siyo taasisi (hapa taasisi ninamaanisha sheria na vyombo vyake). Yaani kutekeleza majukumu yake, Waziri mpaka apate baraka za Rais? Sasa aliwateua nafasi hizo kwa ajili ya nini? Si afanye kazi zote mwenyewe?

I'm not a fan of Nape, I have never been one, and I will never been one. Lakini katika hili, alikuwa sahihi alivyofanya, na mwishowe kaishia kuonewa na baba Bashiitee...
Sio lazima apate baraka za Rais ila kwa kuwa yeye (Nape) ni sehemu ya serikali na Rais ambae ndio mkubwa wake tayari alishaonyesha / kutoa tamko kuhusu hiyo issue kwamba serikali haiwezi kuzifanyia taarifa kutoka mitandao ya kijamii (maana yake hiyo ndo kauli ya serikali hata kama aliropoka) anapokuja mtu mwingine wa chini yake kuendeleza jambo lile lile wakati na yeye ni sehemu ya serikali huku tayari limetolewa tamko maana yake anapingana na serikali wakati na yeye akiwa ni sehemu yake. (angalia kwa jicho la kiplotokali bali usiangalie kwa kosa alilofanya Makonda ambalo kimsingi lipo wazi)
 
Nadhani hapa tatizo ni mipaka ya kazi baina ya mkuu na msaidizi wake, alichokifanya Nape kama mwenye wizara ni sahihi lakini pia alichokifanya JPM kubadilisha na kuteua waziri ni sawa pia kwani kilichoangaliwa hapo nani alianza, tayari Rais alishalizungumzia hilo na kusema "huyo mtu wake" afanye kazi na hawezi kufanya kazi kwa maelekezo ya mitandaoni which means pamoja na makosa aliyofanya huyo dogo bado yeye aliona sawa na ndio maana akazidi kumwambia aendelee kufanya kazi (kwa kauli ile maana yake amefunga mjadala).......na kwa Nape kufanya kazi ile kama Waziri ili kujua kiini cha tatizo nae alikuwa yupo sawa tatizo hapo kwa kuwa tayari rais alishalizungumzia hilo ilibidi afanye mawasiliano na mkuu wake kabla ya kwenda frontline (hapo ni protokali za kiuongozi tusiangalie kosa la Makonda ambalo kimsingi lipo wazi tu halina ubishi). Kinachoonekana hapo tayari kuna tofauti katika ku-deal na tatizo alilolifanya Makonda wakati wote wawili ni sehemu ya serikali na kilichotokea ni yule mkubwa kumlamba mkono yule mdogo.
Kuna watu wanachanganya Mambo uliandika ndio ukweli hata kama NAPE alikuwa anatekeleza wajibu wake lkn kwakuwa BOSS wake alishachora Mstari alipaswa kutulia
 
Nape alikua waziri wa habari sidhani kama kukaa kimya ilikua ni suluhisho.Maadam rais Magufuli ameamua kumkumbatia Mkuu wa mkoa wa Dar kuliko mtu yeyote, ngoja tuone mwisho wake.Ukweli ni kwamba Makonda na Magufuri wana siri nzito na tutaijua tuu siku wakikorofishana.Maana ulimi hupeleka chakula kwenye meno lakini meno yasivyo na shukrani huwa yanang'ata ulimi wakati fulani.
Hasa watu wanapokusema lazima utajing'ata tu, ngoja tuone
 
Nchi inatawaliwa na Paul Kagame kwa remote control.

Ndiyo maana unaona tripu za Bandarini haziishi.Ndiyo maana unaona Baba Jesca anajishtukiana kujihami kwamba hakuna anayempangia mambo.

Ukikaa na mtu na hamjaongelea habari ya wizi, akaanza kujihami "mimi si mwizi, mimi si mwizi" lazima ujiulize, huyu hakuna aliyemwambia yeye mwizi,kwa nini anajishtukia kusema yeye si mwizi?

Magufuli kwa nini anajishtukia sana kuhusu yeye kuendeshwa na watu wengine?

Anataka ku compensante nini?

Habari ni kwamba hata yule aliyemtolea bastola Nape si Mtanzania, ni Mnyarwanda. Nape anajua,ndiyo maana akamuuliza kitambulisho, ndiyo maana yule jasusi Mnyarwanda akatoa bastola.

Nape anajua mengi sana tusiyojua. Hajatokakwa sababu ndogo pale.

Ndiyo maneno ya watu wanasemwa kujua mambo ya ndani ya Ikulu ya Tanzania.
 
Hivi jamani cloud ifugue mashitaka gani????? kwamba mkuu wamkoa ambao ni mwenye kiti wausalama na ulizi wa mkoa wa Dar katuvamia na askari wake!!!!! alafu badaye kafanyaje.....katupiga kapora katutukana.... kumbukeni katika maswala ya ulizi na usalama police na mofisa wana haki ya kuvamia popote wanao hisi kama usalama uko hatarini bila notice kwa muhusika. kwahiyo case ningumu kushida. ingekuwa makonda kama mtu hapo kuna case lkn kama RC analidwa sana kwamjibu ya kazi na majikumu ya Rc
 
nape MSALITI TU na atabaki kuwa Msaliti. Refarii aliye RUHUSU GOLI la MKONO la timu adui (na likawa la ushindi) HAWEZI SAMEHEWA na Washabiki wa Timu ilofungwa GOLI hilo la NIMROD...
 
Haya mawazo ndo yale yanayopingwa na wapenda utawala bora. Yaani mkuu ulitaka waziri katika kutekeleza majukumu yake ya kawaida amuulize Rais? Acheni utani jamani!!

Rais hawezi kufanya kazi zote za nchi hii na kujibu/kutatua hoja zote, ndio maana kuna mawaziri, makatibu wakuu na watendaji wengine. Lazima nchi iwe na mgawanyo wa madaraka. Kwa mtindo wa One Man Show nchi haitakwenda.
 
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi
Mkuu hapa 8)lll[attach KO kwama kitu baada=full]486462[/ATTACH])[ATTA[polo OK that's just=full]486461[/ATTACHCH=ofull]486461[/ATTACH]?(]kuna kazi silo
IMG_20170312_075515.jpg

left mlpk
mk
IMG_20170320_154323.jpg
!68mmmKm IMG_20170321_102213.jpg my mink mm look link km mm Japan[ni LM of polloi loop=full]486462[/ATTACH]View attachment 4864pool jwenkkl
Mill kmimmm.jpg
[kk=full]486469[maneno/ATTACH]ye ku.juul like u
Y[ hm=full]486462[/mmjn
IMG_20170312_075515.jpg
mm moi MNM jijjul]kk
hum kwa wa]mlolull]lolkk[/ATTACH]years mkkkmiimiummmuikiikommijlim
 
Attachments

  • IMG-20170322-WA0000.jpg
    IMG-20170322-WA0000.jpg
    65.9 KB · Views: 29
  • IMG-20170322-WA0000.jpg
    IMG-20170322-WA0000.jpg
    65.9 KB · Views: 30
Kinyago mkchonge wenyewe; chumbani mkiweke alafu kianze kuwatisha...!!?
Wabunge wote wenye nia njema fanyeni kweli..!
[HASHTAG]#impeach[/HASHTAG] [HASHTAG]#impeach[/HASHTAG] [HASHTAG]#impeachmtukufu[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom