Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Magufuli Amebadilika Sana Sio Yule Tunayemfahamu..
tapatalk_1489740281952.jpeg
 
Msitake kutuondoa kwenye mada. Issue kubwa hapa ni madawa ya kulevya. Mnatumia hoja ya vyeti vya makonda kuhalalisha biashara haramu ya madawa ya kulevya ambayo imeliangamiza taifa. Na hatukubali kurudi nyuma. Mpaka kieleweke
Upupu huu... kwani baada ya makonda kukabidhi majina kwa kamishna mapambano hayajaendelea??? Si mpka riz1 kaitwa na wengineo... mbona watu hawajaanzisha vita na siang'a au kamanda siro...
 
Nyie kilasiku
mlikua mnamtukana Kikwete, Leo kupatikana Jembe bado mnalalamika.
Mungu ametuletea JPM anafanya kazi yake vizuri na bado mnalalamika. Naamini hamtaacha kulalamika kwakuwa watu walioshindwa huwa wana maneno
mengi. Kwaujumla tumesha wazoea.
Nyie, mli diriki kutuletea maMvi agombee urais, hamna maana kabisa.
 
Tatizo ni bashite na baba ake walivopanga mpango wa kuvamia clouds kuchukua habari yao ya udaku kwa nini hawakumshirikisha Nape? Yeye alikuwa anawajibika kama waziri anaehusika...sema Magu alikuwa hampemdi nape siku nyingi kapata pakutokea...nape ni kati ya mawaziri ambao walikuwa wana m challenge mkuu...yan hakuwa bendera Fuata upepo
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
ebo! kumbe na wewe ni wale wale mnaosema makonda kavamia clouds wakati mtu alienda tu kwa rafiki zake. ruge mwenyewe amesema makonda alikua rafiki na mteja wao. mumeambiwa kutokana na tishio la wauza ngada makonda analindwa na askari toka kikosi maalum cha rais ila kwa nia yenu mbaya mnajidai hamjasikia hilo wala hamuelewi. hakuna ushahidi wowote makonda alileta purkushani kama tulivyoambiwa mwanzo eti askari wake walikata watu mtama. kwa kila dalili makonda alisalitiwa na marafiki zake wa clouds ambapo gwajima na nape huenda wamehusika. sijawahi kuona eti waziri bila idhini ya rais anaunda tume ya kumchunguza mkuu wa mkoa kwa jambo lililotokea mkoani kwake. na tena waziri anamuhukumu rc kabla ya hata hiyo team yake yenye watu wa kutiliwa mashaka kutoa taatifa yao. kwa nini gwajima na nape possibly wanahusika na usaliti aliyofanyiwa makonda clouds hivi sasa kuna urafiki uliozuka ghafla kati ya gwajima na clouds na kati ya clouds na nape hadi clouds kulipia ukumbi ambapo nape angekutana na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa.
 
Hiyo ni kazi

Ni kutofahamu mipaka ya utendaji wake, ni kwa nini hakumpigia simu Rais kwa ajili ya kuomba ushauri kuhusu dhamira yake ya kuunda Tume, yeye anawajibika kwa nani, hiyo taarifa angeipeleka kwa nani kwa ajili ya maamuzi. Hili liliotoke ni kazi ya Mungu ili Nape naye ajionee machungu ambayo wengine wamekwa wakikabiliana nayo na wakati mwingine naye akitoa maelekezo washughulikiwe. Nasikia hata enzi za Mwalimu, mtu aliyechangia katika kupitisha Sheria ya Kuweka watu Kizuizini, aliponea chupu chupu kuwekwa kizuizini, akakimbi nchi.
Kwa hiyo na wewe unamtetea Bashite?Acha ulofa mkuu!
 
Kama ulisikiliza vizuri ile ripoti..kuna kifungu cha sheria kinamtaka waziri aunde kamati kunapokua na suala kama lile.. hakujiamulia tu.. utakua ni ujinga kama waziri kila saa amuulize bosi wake cha kufanya... kumlinda nani??? Isitoshe kamati iliundwa kabla ya tamko la mukulu.. isitoshe no one is above the law including mukulu mwenyewe... haijalishi alisema nin muhimu sheria ifate mkondo.
Hiyo Sheria ni nzuri, lakini iache ifanye kazi huko kwenye nchi ambazo watu wanajitambua na kutenda haki, sio huku ambako watu ni full kuviziana ili kulipiza visasi na kupooza chuki binafsi, hivyo, sheria ni nzuri lakini inatumika kwa manufaa binafsi badala ya manufaa ya taifa.
 
Nape alikua waziri wa habari sidhani kama kukaa kimya ilikua ni suluhisho.Maadam rais Magufuli ameamua kumkumbatia Mkuu wa mkoa wa Dar kuliko mtu yeyote, ngoja tuone mwisho wake.Ukweli ni kwamba Makonda na Magufuri wana siri nzito na tutaijua tuu siku wakikorofishana.Maana ulimi hupeleka chakula kwenye meno lakini meno yasivyo na shukrani huwa yanang'ata ulimi wakati fulani.
Nafikiri wote wana vyeti "fake".......
 
Msitake kutuondoa kwenye mada. Issue kubwa hapa ni madawa ya kulevya. Mnatumia hoja ya vyeti vya makonda kuhalalisha biashara haramu ya madawa ya kulevya ambayo imeliangamiza taifa. Na hatukubali kurudi nyuma. Mpaka kieleweke
Akili zingine bwana!! Unadhani vita ya dawa inahalalisha forgery ya Bashite? Na unadhani kuwajibisha kwa Bashite kutazuia mapambano ya dawa za kulevya?
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
HUWENDA KANUNULIWA NA CDM AU WAUZA BWIMBWI. KOSA LAKE SI LA BAHATI MBAYA !
 
Back
Top Bottom