Asante Nicas Mtei !Vipi hali ya hewa ?
mleta mada umeolewa?
Just landed safely!!!Ila huu upepo sio wa kawaida!
Pole na safari mpz! Swala la upepo lisikutishe, mbaya ni "uamsho" tu wanaotaka "muungano" uvunjike!? Waogope kama ukoma!
Kituo cha kwanza,nimepelekwa Rose Garden,kutoa njaa!!!
Kweli Bongo raha,nimeona cover ya simu very nice,jamaa kuulizwa bei ikawa kosa!!Iko kama alijua mie mgeni ati....kaanza na elfu 15 ,tukasumbuana naye mwisho wake kachukua elfu nne!!!
Angalia matapeli huko Dar mwaya.Sie hatutaki utusimulie sad story.Kituo cha kwanza,nimepelekwa Rose Garden,kutoa njaa!!!
Kweli Bongo raha,nimeona cover ya simu very nice,jamaa kuulizwa bei ikawa kosa!!Iko kama alijua mie mgeni ati....kaanza na elfu 15 ,tukasumbuana naye mwisho wake kachukua elfu nne!!!
Khaaa!
Hata wewe? Ishakula kwangu mazima. Ngoja nijaribu bahati yangu kwenye PM. Dah mnakaba hata kwenye volleyball?
Afu huyo Saharavoice alishapigwa marufuku kuja Dar. Mwisho wake ni pale mto Ruvu. Jamaa ni baradhuli kama Mswati na Zuma.
Ee bana ee kuna wakati nilimuuliza rubani wako..."position"?, kimya...nikarudia mara ya pili na tatu, kimya!Asante hubby!! Nashangaa kule juu sikuona traffic hata mmoja wakukagua kama tumefunga mkanda au la!!!Kumbe wanatuoneaga tu tukiwa kwenye vibarabara vyao vya lami!!!
Bila shaka mpendwa marejesho uwe na wakati mzuri pale utakapo fikia jamani!
Ntakuseach hewani soon!
Kituo cha kwanza,nimepelekwa Rose Garden,kutoa njaa!!!
Kweli Bongo raha,nimeona cover ya simu very nice,jamaa kuulizwa bei ikawa kosa!!Iko kama alijua mie mgeni ati....kaanza na elfu 15 ,tukasumbuana naye mwisho wake kachukua elfu nne!!!
Ee bana ee kuna wakati nilimuuliza rubani wako..."position"?, kimya...nikarudia mara ya pili na tatu, kimya!
Kidogo niwatangazie MAY-DAY!
Anyway, thanxGod u hv landed safely in Dar.