Marafiki wa arusha ntawamiss sana

Marafiki wa arusha ntawamiss sana

Mkuu marejesho karbu Dar.ukifika uje huku BOKO-UNUNIO BEACH huku twala samaki sabamaki vibua tu.na upepo mwanana wa bahari,ukitoka hapa waenda bunju kwa babu yako asprin naenimeona kakukaribisha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu marejesho karbu Dar.ukifika uje huku BOKO-UNUNIO BEACH huku twala samaki sabamaki vibua tu.na upepo mwanana wa bahari,ukitoka hapa waenda bunju kwa babu yako asprin naenimeona kakukaribisha.

Asante kisilo ,kama ratiba itaruhusu ntawatafuta!!!
 
Last edited by a moderator:
karibu Dar jiji la karaha, zamani jiji la Makamba
 
Heeeeee Umetoka nje ya Arusha??????? Imekula kwa Filipo...............nasikia Erickb52 amekata tiketi ya kwenda Dar..........hii sasa hatari

Sema kapanda Dar Express mpaka afike Marejesho kesharudi kwa hiyo Erickb52 imekula kwake kama alitaka kuleta zengwe tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom