Marafiki wa arusha ntawamiss sana

Marafiki wa arusha ntawamiss sana

Mbona mnakurupuka hivyo jamani! Someni vizuri hiyo post! She is my wife na anapokelewa na wifi zake! Tulieni vijana yasiwakute ya polisi jamii! Bon voyage my wife! Uende salama, urudi salama!
 
Ukifika Dar usisite kuja kumjulia hali babu yako Asprin a.k.a ODM. Napatikana huku Shambani Bunju. Uje umsaidie kuvuna matikiti maji, na ufanyiwe ukaguzi pia.

Karibu sana mjukuu wangu.

khaaah! Babu unakagua hadi wakwe zako?
 
Mbona mnakurupuka hivyo jamani! Someni vizuri hiyo post! She is my wife na anapokelewa na wifi zake! Tulieni vijana yasiwakute ya polisi jamii! Bon voyage my wife! Uende salama, urudi salama!

Asante hubby Filipo ,just arrived Zanzibar safely,we will be taking off shortly to Dar (JIJI la wenyewe)
 
Last edited by a moderator:
Ukifika Dar usisite kuja kumjulia hali babu yako Asprin a.k.a ODM. Napatikana huku Shambani Bunju. Uje umsaidie kuvuna matikiti maji, na ufanyiwe ukaguzi pia.

Karibu sana mjukuu wangu.

Babu Asprin asante sana, ngoja nione ratiba imekaaje,then ntakuja kwa ukaguzi wa awali!!
 
Last edited by a moderator:
Asante hubby Filipo ,just arrived Zanzibar safely,we will be taking off shortly to Dar (JIJI la wenyewe)

Pole na safari wife! Hope mtafika Dar salama. Hao akina Asprin ni "watu" ila si watu. Usikutane nao kabisa....!
 
Last edited by a moderator:
Hizi safari zingine za kushtukiza hizi! Enhe ulitoa lini taarifa kwenye kamati ya Mungi na Erickb52? Party ya kuagana hujatuarifu tukuandalie wee mwana wee! PakaJimmy naomba umpe marejesho HADIDU REJEA na asomewe na Preta. Ukienda warudi LINI??

Mkuu Arushaone safari zingine za ghafla na ndio maana nikaona niingie humu sebuleni kuaga!!Basi andaa welcome party!!
Ntakujulisha siku ya kurudi!!!
 
Last edited by a moderator:
Toka tumeachana aisee kichwa yangu haiendi sawa!...Nambie uko maeneo gani muda huu!

PakaJimmy kichwa kimepatwa na nini? My dear mabumps kibao,hii hali ya hewa leo sio mchezo!!!Ndio tunaondoka Zenji!!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 amenuna?au shem wangu alitaka kuagwa kwa mahug?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom