elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Nilikuwa nashangaa akin marehemu Mwizikuru Jilala kumuopoa Norah kipindi kile nikadhan mvuto wa ela kumbe mandigo yanawavutia watoto wakalez.ha ha ha haaa...mkuu we nae wivu sana achagaaa!...nampenda hvyo hvyo hata gamboshi anipeleke!...japo naogopa ila mapenzi matammmmmm na mshana Jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kinachonishangaza humu ni kwamba sijui ID ipi ya kiume au ya kike au ya shemale maana humu bwana panashangaza sana ndo maana naogopaga kuchart na mtu kwa sababu unaweza ukafall in love kwa mwanaume mwenzio au popo bawa
Ahahah, the supanova himself! Thumb up for you. [emoji106] [emoji113] [emoji108]hujakutana na mimi utaanza kunitafuta wewe
Mambo ya hakunaga zaidi ya yeye!mie nampendaga Mshana Jr tu! yan nakufa naozaga nkisoma post zake! mweee...japo mie new humu ila daah nampendaga
Wiki mapema, njaa inaliliwa baada ya miezi mitano mpk sita kumuaminisha mlegwa ni yeye tu ulikuwa wamsubiri.Hawaliagi njaa?
Watu mnaanza kuchat ndani ya wiki unalia njaa.
Hapo ndio nyakati za kupiga ngumi ukuta, yaani hatari, unatamani kulia machozi yanakuwa nayo magumu.Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..
Acheni tu... achaaa
Mi nimesema hapa hii biashara ya kuacha chiu za mtaani mzijuazo mtaokota majini huku mitandaoni, shauri zenu....Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!
Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Raha ni usiwe na haraka ya kumjua, coz mkitaka mtajuana tu, don't invest too much kwenye nadharia.Haya mambo ya mtandaoni usiamini kabisa aiseee... hadi umuone mtu face to face, na umjue sasa...!! Hatari sana
haaa..
Yaani nimejenga taswira bado kidogo nikimbie na Mimi!Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!
Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Ngoja nikae kimya mie
Hahahahahaah Umeona kumbe! Hii noumaHahahahaha lol! Bora umeamua kujikalia kimya Mkuu, mimi nakuunga mkono Mkuu, pamoja na kuwa nilikuwa nafuatilia michango mbali mbali kwenye uzi huu.
We hujataja ujuwe...hebu njoo tulale....
Hahaaa polee ulikuwa na big expectations niniHaaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!
Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Yaani nimejenga taswira bado kidogo nikimbie na Mimi!
Hahaaa polee ulikuwa na big expectations nini
Hahaaa it seems unapenda umbo namba 8. Wachache sana wanaguwaga honest with what they are saying and presenting to u.Sanaaa sanaaa... kwa mapicha alioweka mitandaoni... wee na umbo sasa.. mtandaoni.. kumbeee...sio yeye.. sio kabisa.!!
Hahaaa it seems unapenda umbo namba 8. Wachache sana wanaguwaga honest with what they are saying and presenting to u.