I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,732
- 10,038
Hasa za bongo flevawaptrick naitumia hadi Sasa, Kuna nyimbo huwezi kuzipata popote Ila kule zipo tena kwa ujazo wa kb tu kwa quality Ile Ile.
Hatarrrphonerotica😄
phonerotica
Hafu eti nipo zangu mbinguni nakula mkate wangu wa kila siku, kwambaali nakuona unaingia.. No way.phonerotica😄
Phonerotica umesahauKwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano
👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap
Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Hii nilikuwa na_download appswapgetjar.com
Kula like kwanza...umenikumbusha enzi hizo simu za kuaminika za kuingilia kwenye mtandao (internet) ni Nokia na Sony EricssonKwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano
👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap
Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Nimechekaa kama mazuriphonerotica