Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano

👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap

Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Phonerotica umesahau
 
Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano

👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap

Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Kula like kwanza...umenikumbusha enzi hizo simu za kuaminika za kuingilia kwenye mtandao (internet) ni Nokia na Sony Ericsson
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom