Me ni virgin man.
rough rider ni nzuri sana, wala haziwashi, zinaongeza hamu kwa upande wa mwanamke. Try it, but dont try at home.
hizo sio nzuri kama bareback au zile erotica.....au unasemea zile zenye vipelepele......?
au kama Madam B anawashwa sana.....atumie zile zenye fleva ya banana.....akitumia za fleva ya guava mwisho wa siku zinatoa harufu ya kibudu.....
Kudadadeki.
Watu mnajua kila aina.
Ni Hz Salama Studs.
ha!....chezeya kinga wewe.....halafu ukinunua uwe makini....kuna size ndefu na fupi....ohooo....
hizo sio nzuri kama bareback au zile erotica.....au unasemea zile zenye vipelepele......?
ha!....chezeya kinga wewe.....halafu ukinunua uwe makini....kuna size ndefu na fupi....ohooo....
Nyie watengenezaji wa Salama,please come zis way!