kilililililili....aiaiaiaiaiaiai.... vigelegele vya kiuru! wanangu mabinti zangu charminglady, sweetlady na WiseLady naona mwataka nitokelezeee... na kaka yenu Davie S.M atampendezesha baba yenu watu8. Kweli mungu ni mwema!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana leo jamani....we ni mtambo wa nyuklia(sorry) sina neno zaidi ya hilo yani we ni noma.....nimecheka sana sana sana yani mnoooo kha!
khaaa!mi nilijua mara ya kwanza ku do kuch kuch, kumbe ndom tu mbona kitu kipo clear nipe ndom harufu ya chocolate ananipa nasepa mtakufa na mdudu nyie waoga ooooh!