hapo balaa kabisa ukute na shemeji yako watu8 ndo kapigiwa simu aje kukupeleka hospitali hakuna pa kufunga kamba, ile dawa wanazuuza kwenye mabasi wale wa promotion ndo umekaacha home hujakabeba kwenye pochi...lol.
Me situmiagi.
Zinaniwashaga sana.
itabidi aninyonye hyo sumu. Sasa sijui itakuwaje?
Hizi ajali nyingine hz,balaa tu shost.
kha!! so wee watoa utamu orijino. safi sana.
haswaaaa!
Nyamanoro ama bwiru?
Kwa nini si za kike? Unajua unacho jaribu kuonesha? Wakati tena za kike unaweza ukavaa masaa mawili kabla ya tendo na ni nzuri kwenu!
ahaaa....hivi ni zile colourless eeh.....halafu hauzifeel kabisa....nzuri kweli.....
shikamoo mummy.... nimekumiss kweli mamaangu, enhe waja lini kututembelea ama wasunsibiri kijacho aje???
Mwambie mie nilikuletea tenge la wax nae atoe hela ya mashono mama ung'are christmas!mwanangu i miss you more!! huwezi amini hapa muda si mrefu babako watu8 alikuwa anauliza naja lini huko nikamwambia nasubiri ujifungue ili nije na kulea mjukuu kidogo na kukupikia uzazi..wajua tena mtoto anatakiwa maziwa ya mama tu kwa miezi sita inasaidia hasa ukuaji wa mtoto na ubongo pia ndo najipanga nitakuja ukiwa karibu na tarehe zenyewe mwanangu charminglady. Ndugu zako sweetlady na Davie S.M hawajambo walikuja kututembelea juzi.
mwanangu i miss you more!! huwezi amini hapa muda si mrefu babako watu8 alikuwa anauliza naja lini huko nikamwambia nasubiri ujifungue ili nije na kulea mjukuu kidogo na kukupikia uzazi..wajua tena mtoto anatakiwa maziwa ya mama tu kwa miezi sita inasaidia hasa ukuaji wa mtoto na ubongo pia ndo najipanga nitakuja ukiwa karibu na tarehe zenyewe mwanangu charminglady. Ndugu zako sweetlady na Davie S.M hawajambo walikuja kututembelea juzi.
Ila dada hajambo charminglady... Wewe je?