Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

wanaume ndo wanakatabia ka kurarua shingo utazsni simba anaandaa msosi

Binafsi ni mwanaume, sasa mrembo alitaka kuniwekea ya kwenye paji la uso duuuuh,

Ile kukwepa tu, kitu kikatua kwenye bega yaani sikuvaa shirt wala T-shirt week nzima hadi leo Niko na alama sasa huwa nikiiangalia najiuliza hivi hadi leo ningekuwa na hii alama kwenye paji la uso!?

Daaaaah, niliponea chupuchupu
@#Wahenga
 
Hii itawahusu wale weupe tu, maana wale weusi bite haiwezi onekana kabisa
 
Hutokea kwa wapendao kukiss wakati wa kufanya, hivyo akifika kileleni hutumia nguvu zaidi kwasababu ya mihemko
 
nilimpiga kelbu moja hatari ya uso nikidhani nimen'gatwa lakin baada ya kumbembeleza baada ya kulia alinielewesha .....
 
Back
Top Bottom