[HASHTAG]#Pricillah[/HASHTAG] ,
Upo wapi nije nikuwekee plz[/QUOTE
Hapana kwakweli me naziogopa
[HASHTAG]#Pricillah[/HASHTAG] ,
Upo wapi nije nikuwekee plz[/QUOTE
Hapana kwakweli me naziogopa
Nna rafiki yangu anaona sifa kabisa kuonyesha milove bite yake namshangaaga utafikiri wenzie hatuto....
Marhaba[HASHTAG]#sammyluv[/HASHTAG],
Duuuuuuuuh, Shikamooooooooo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuuAisee mimi alivyoning'ata sitasahau hiyo alama ipo hadi leo
Daah asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilimpiga kelbu moja hatari ya uso nikidhani nimen'gatwa lakin baada ya kumbembeleza baada ya kulia alinielewesha .....
Kumbe una gariAliniweka ktk shingo nami mweupe basi nilijua kudanganya hapo hadi noma nilimdanganya nimelalia funguo wa gari[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
inafutika mkuu baada ya siku kadhaaKwani love bite haifutiki?
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Anhaa... afu ukanidanganya we bado bikra...Nimekumbuka mbali asieee kuna ex wangu mmoja alikuwa anapenda kunifanyia hivo sasa hiyo siku nilitoka kwake rafiki zangu wakaanza kunizingua wanataka niwaambie nimefanyaje kwenye shingo yangu wakati wanajua kabisa ukweli.........nilijisikia aibu kwa kweli
nikujazie mkuu mihemko (MIUTAMU)Hutokea kwa wapendao kukiss wakati wa kufanya, hivyo akifika kileleni hutumia nguvu zaidi kwasababu ya mihemko
Hahahahhahaaaa babu sio mimi huyo nimejikuta nimesema tuAnhaa... afu ukanidanganya we bado bikra...
Unataka kuniua kwa wivu?Hahahahhahaaaa babu sio mimi huyo nimejikuta nimesema tu
Hapana usife kwa wivu maana sio mimi huyoUnataka kuniua kwa wivu?