Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Kwa tafsiri ya haraka haraka love bites ni "alama ya mng'ato huba, ambayo/ambazo huwekwa kwa mtu/watu pale wanapokua wanatendeana lile tendo takatifu la ndoa, ambalo watu wengi hulifanya kabla hata ya ndoa kwa kisingizio cha SHAKE WELL BEFORE USE (inasikitisha sana). Wengine wataongezea au kukosoa.
Ahaa, asante mkuu
 
Kwakweli ilibidi niachane nae maana kila tukisex akitaka kupiz nakua kama nimevamiwa na chui anaweka shingoni na kwenye maziwa halafu zinachelewa kutoka so nkawa na adhabu yakuvaa pull neck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom