Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Hahahahahaaaa babu jamani umenifurahisha......itabidi uingie gym mwaka mzima sasa
Uchague kabisa pa kukuwekea.. . Shingoni, mgongoni, kitovuni, mapajani au kwenye chura...

Mi si mtu wa kispotispoti kwenye malovebites...
 
Lovebites ni nini ? Samahanini lakini
Kwa tafsiri ya haraka haraka love bites ni "alama ya mng'ato huba, ambayo/ambazo huwekwa kwa mtu/watu pale wanapokua wanatendeana lile tendo takatifu la ndoa, ambalo watu wengi hulifanya kabla hata ya ndoa kwa kisingizio cha SHAKE WELL BEFORE USE (inasikitisha sana). Wengine wataongezea au kukosoa.
 
Back
Top Bottom