Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Hii mada ipo nje ya uwezo wangu.
 
Kwa bahati mbaya sijawahi kumtoa demu kitandani bila hiyo lovebity

Kazi siku moja niliwala madem watatu kwa wiki moja na wote walikuwa waimba kwaya walipokuwa kwaya mmoja akamwona nayo mwenzake nae kumbe wamemwona nilikuwa kzi kwelikweli
unafyatua lovebites kama kiwanda [emoji23]
 
Nkiwa mkubwa nitachangia...leo na udogo wangu huu ngoja nipige kimya
 
duuh pole mkuu ulijisiaje vibaya,ni vizurri kuweka eneo lenye uficho
Aliniweka ktk shingo nami mweupe basi nilijua kudanganya hapo hadi noma nilimdanganya nimelalia funguo wa gari[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Aliniweka ktk shingo nami mweupe basi nilijua kudanganya hapo hadi noma nilimdanganya nimelalia funguo wa gari[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alafu kina mama wako sensitive sana na hayo mambo,dk tuu kashakubaini
 
Nipo Nahangaika Kutoa Bikra Ya Mtu Pori La Jeshi Makutupora Niling'atwa Kudadeki Kama Nimeng'atwa Na Zombie. Kovu Nnalo Mpaka Leo. Na Sitaki Tena Mabikra Mimi Nyambaf!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mimi niliwekewa na nesi wakati nazaliwa mpaka leo ipo hapa bega la kulia..

Ukimaindi natuma tena.
 
Kula Nyama za watu sio fresh halafu unasema love bite ni njaa hizi
 
Leo umekuwa adimi[emoji7][emoji7][emoji7]
eeeh!!!!jana yenywe kweli
Hata kupunzka ilikua shida
Job kidogo ilinibana

Af unajua family ikilala
Njaa utanilaumu mm


Monie [emoji8] [emoji477]
 
Back
Top Bottom