Lovebites nilijua ni part yenye kuku plus ndizi hivi kumbe ni ujinga wa kuumana, pumbavuu






Me sipendi jamaan hiko kitu halaf kutokana na rangi yangu inaonekana sana mpaka kero unakuwa unajishtukia tuhahah ulijisikiaje ulipowekwa kwa mara ya kwanza? Na ilikaa kwa muda gani?
Unatumia kinywaji gani?🙄Sijawahi kupenda hiyo kitu maishani mwangu, nafurahi mm mweusi kwa hyo hata ikitokea akafanya bidii hazitaonekana
Me sipendi jamaan hiko kitu halaf kutokana na rangi yangu inaonekana sana mpaka kero unakuwa unajishtukia tu
Unazuga tu umeng'atwa na nyukiMe sipendi jamaan hiko kitu halaf kutokana na rangi yangu inaonekana sana mpaka kero unakuwa unajishtukia tu
Acha tu mkuu nionekane mshamba sipendi lovebitesUnazuga tu umeng'atwa na nyuki
Hapana BAK me cheusi mangalaOh! Kumbe wewe rangi ya chungwa eh! ukiguswa kidogo tu basi ni lazima pawe pekunduuuuu 🙂🙂
Mnawekana ili iweje sasa!!ushawahi kumweka mtu? Hizo zina utaalam wake hata kama mweusi itaonekana tuu
Huyo alikutafuna mkuu!Aisee mi alivyoning'ata sitasahau hiyo alama ipo hadi leo
Sijui ndio waonekane wanapendana hahhahaMnawekana ili iweje sasa!!
[ emoji23] [ emoji23] mkuu hii chumvi ya uvinza nini?
Acha kabisa kuna ya kuvuta nywele pia. Niliwahi kuvutwa afro langu hadi nikaogopa na kudhani naweza kuachwa kinyonyoke. Nilidhani binti kapatwa na kifafa kumbe mautamu ndiyo yamemzidia anafika kule kuitwako kilele cha mlima wetu maarufu nchini.
Kuta 4 zinaficha mengi sana,hakika tungeshuhudia uwendazimu wa kila mmoja wetu anapokuwa ktk ktk kile kitendo naamin kila mmoja angemuona mwenziwe wa ajabu huku barabaraniHayo mapenzi gani ya kung'atana!!Sijui ndio waonekane wanapendana hahhaha