Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Eid nlitoka kuekwa ayo maalama na binti flan hivi hayajaisha mpk leo nalazimika kufunga shati mpaka vishikizo vya juu kama mnyasa
hahaha mkuu hiyo sio lovebites itakuwa vidonda hivyo
 
What for? Sina haja Nayo kabisa. Nitengeneze vialama kwenye ngozi yangu? Oh,sorry. No. Never. Pamoja na ngozi yangu kuwa nyeupe lakini siwezi kukubali huo ujinga.
 
What for? Sina haja Nayo kabisa. Nitengeneze vialama kwenye ngozi yangu? Oh,sorry. No. Never. Pamoja na ngozi yangu kuwa nyeupe lakini siwezi kukubali huo ujinga.
Kuna utaalamu wake unaweza kuwekwa hata usijue
 
Acha kabisa kuna ya kuvuta nywele pia. Niliwahi kuvutwa afro langu hadi nikaogopa na kudhani naweza kuachwa kinyonyoke. Nilidhani binti kapatwa na kifafa kumbe mautamu ndiyo yamemzidia anafika kule kuitwako kilele cha mlima wetu maarufu nchini.

Hahaha , hii ya kufinya na kiparura sijui tunaiweka kundi gani.
 
Hivi na huku uswahilini mambo hayo yanawezekana kweli au ni mambo ya kishua tu. Lovebite
 
Mi ngozi yangu ni ya giza tena giza haswaaa hata uweke hyo milove bites haiwezi kuonekana, ila nilipata mtoto mkalee mweupe hatareee kila siku alikuwa anaondoka na mialama ya shingo.
hahaha wewe miss natafuta anakufaa,atakuweka tuu na jamii itashuhudia kama umewekwa [emoji23]
 
Back
Top Bottom