Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,289
- 72,517
acha tu mkuuHuyo alikutafuna mkuu!
acha tu mkuuHuyo alikutafuna mkuu!
kwenye Maromance mkuu kweli mapenzi upofu na ukiziwi, niling'atwa ila maumivu sikuyasikia kwa muda huohahaha ilikuwaje mkuu?
Wanafanya, ila kumbuka hiki kitendo ni cha siri ndio maana huwa hatufanyi hadharani, sasa mambo ya sirini kuyaleta hadharani ni aibu sana.Kwani hao wanaokuona nao hawafanyagi tabia mbaya??
hapana mkuu i meant, ile comment yako kam umeizidisha chumvi,lovebite ya kwababu!!! Si mvhezo
Ndio hivyo yaan mambo ya tabia mbaya.Hahaha nmecheka kwa sauti umefanya matusi lol
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Kibaya zaidi sina mpango wa kubeba mtu Leo. Bakisha nguvu ya kutembea mwenyewe
Leo umekuwa adimi[emoji7][emoji7][emoji7]nmefika!
Uko salama lakin[emoji8] [emoji8]
Mrs____
kweli hahahaWanafanya, ila kumbuka hiki kitendo ni cha siri ndio maana huwa hatufanyi hadharani, sasa mambo ya sirini kuyaleta hadharani ni aibu sana.
[emoji23] [emoji23] Hamna romance tu kakaalikuwa anatafuta nini huko nyuma Dada??
[emoji12] kweli tena sitaniii, mwanaume yule alikuwa kibokooo[emoji23] we jovitha wewe,malaika wanakuona ujue[emoji23] huyo labda alikuwa na njaa [emoji23]
hahah atii matusi. Unapigwa lovebite la tumbo mbona fresh tuuMie sipendi hayo maalama jamani cjui ni ushamba wangu au vipi, yaan ukishawekewa hilo lialama huwezi kuwa comfortable sehemu yoyote labda ujitoe ufahamu tuu. Kila mtu akikuona anakuhisia utakuwa umefanya matusi [emoji85][emoji85].