Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Unataka kusema alinizsmia mm chumvini?
Hayo matusi sasa..
hapana mkuu i meant, ile comment yako kam umeizidisha chumvi,lovebite ya kwababu!!! Si mvhezo
 
Eid nlitoka kuekwa ayo maalama na binti flan hivi hayajaisha mpk leo nalazimika kufunga shati mpaka vishikizo vya juu kama mnyasa
huyo alikuwa vampire kakunyonya damu[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Mnawekana ili iweje sasa!!
Utundu ktk mapenzi huwa hauna mipaka,lovebites zinasisimua sana ukipata mjuaji kiasi kwamba huwezi jua kama umewekwa kwa ile misisimuko. Ishu inakuja baade ndio wastuka,lakini wengi tunang`atana kama sio kuumana [emoji23]
 
Mie sipendi hayo maalama jamani cjui ni ushamba wangu au vipi, yaan ukishawekewa hilo lialama huwezi kuwa comfortable sehemu yoyote labda ujitoe ufahamu tuu. Kila mtu akikuona anakuhisia utakuwa umefanya matusi [emoji85][emoji85].
Kwani hao wanaokuona nao hawafanyagi tabia mbaya??
 
Mie sipendi hayo maalama jamani cjui ni ushamba wangu au vipi, yaan ukishawekewa hilo lialama huwezi kuwa comfortable sehemu yoyote labda ujitoe ufahamu tuu. Kila mtu akikuona anakuhisia utakuwa umefanya matusi [emoji85][emoji85].
Hahaha nmecheka kwa sauti umefanya matusi lol
 
Back
Top Bottom