Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

Hawezi kuletwa mtu wa kuvunja Law no 1 ya Robert Greene.

Ni sampuli ya Sheikh Mwaipopo ndiyo ya kutarajia hapo!😁
 
Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea.
Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika.

Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
 
Hapa ndio unajiona umeandika mpaka mwisho, si ndio?
 
Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea.
Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika.

Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
Wakati mwengine maada kama hizi ziwekwe kwenye jukwaa la vichekesho
 
Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea.
Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika.

Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
Hufi leo wala kesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom