Mara nyingi majina huendana na tabia

Mara nyingi majina huendana na tabia

wanapenda luxuries but wanapenda familia
hawapendi ku cheat....ila wako very sensitive na maneno ..
wanapenda peace sana....
hahahahaahha,good descripto..
boss jeee,kama jina lilivo wana vyeo na wana penda all the good things...hapana chezeya haya majina
 
Halafu mumeo mimi ni The Intelligent yaani smarter.

Hapo sawa kabisa tukichanganya intelligent +bilionera tunakuwa na rich family powerful one ... God show me where the money is I will not let u down and u will never regrate my dear God.... amen
 
Last edited by a moderator:
Ni kama pana ukweli.
Daaa hii toka nimejiita Mamndenyi ni maajabu
Yapo kwa hili jina. Nali like.
 
Hapo sawa kabisa tukichanganya intelligent +bilionera tunakuwa na rich family powerful one ... God show me where the money is I will not let u down and u will never regrate my dear God.... amen

ingekua rahisi hivyo nadhani hadi kijijini kwetu mwanalugali kungekua na maghorofa ya mabilionea wengi sana
 
Jina halina uhusiano na tabia ya mtu kabisa,tabia njema utokana na malezi ya familia,kuwa na pesa ni neema za mungu,kama unaamini hivyo kuna watu wanaitwa mandela lakini ni walevi tu wa gongo,kuna watu wana majina ya ajabu lakini wapo njema kama kina lemako,ndama etc
 
Kunanguvu za uvuvio katika majina.
 
Kuna nguvu flani kwenye majina.
 
Back
Top Bottom