Nimefanya kauchunguzi kangu kadogo tu. Nimegundua asilimia kubwa majina huathili maisha yetu ya kila siku.
Kwa mfano mimi Annael maana yake ni mtu aliye na Mungu. Limekuwa likinisaidia sana.
Ni hayo tu.
[h=3]Mtoto mwenye mguu wa ukweli ananikosha[/h] Started by Annael, Yesterday 22:00Wanajamvi,
Nimekuwa nikitafuta kupata starehe ya kweli japo siku moja. Moyo wangu unahisi kuna raha ipo nzuri. Nimefanya sex mara kibao na wanawake wa kila namna.
Lakini sijapata real starehe, katika sex ni just friction ambayo hainipi starehe na baada ya mda uterezi unatokea na kutoa maji mazito kidogo basi. Nimejaribu kunywa pombe, kuvuta sigara ndefu na fupi laki wapi hakuna raha yoyote.
Wana JF je kuna raha ya ukweli?
Au labda nina matatizo?
Tena videmu vikijipitisha kwangu vimevaa nguo fupi huwa na shangaa kweli. Hivi kweli vinadhani vinaweza nipa starehe? Kama kuna mtu kama mimi ajitokeze tuunde society yetu.
Sijapata raha zaidi ya kusisimka mwili.
Kuna ukweli katika hili.....wewe unampa jina mtoto masumbuko unategemea nn???Ingawa kibongo bongo wakati mwingine mzazi anatoa jina kulingana na yaliyompata kipind cha ujauzito
Ni kweli majina yanahukumu saana watu jaman, sijawahi ona shida, masumbuko, mateso..wamenyaka nafasi nyeti kwenye jamhuri hii. Nop!!!
LITERALLY....
![]()
Karibu weekend
Karibu weekend
kinachotu shape ni socialization, hasa ya awali.
Vipi huyu kivuruge kipandauso angelelewa New York kwa Natalia tangu ana mwezi.0?
Labda ningekuwa Riri.
Nadhani hujaelewa maana halisi. Sio kumwita jina la matajiri. Ila maana ya jina hilo katika jamii.
Mfano shigongo maana yake ni Neema.