miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
ingekua rahisi hivyo nadhani hadi kijijini kwetu mwanalugali kungekua na maghorofa ya mabilionea wengi sana
Ha ha ha hakuna kona katika maisha lazima kujipifa kidogo kidogo
ingekua rahisi hivyo nadhani hadi kijijini kwetu mwanalugali kungekua na maghorofa ya mabilionea wengi sana
Kuna ukweli katika hili.....wewe unampa jina mtoto masumbuko unategemea nn???Ingawa kibongo bongo wakati mwingine mzazi anatoa jina kulingana na yaliyompata kipind cha ujauzito