Mara: Mwalimu Mkuu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

Kuna ubakaji kwa mujibu wa sheria ya Ubakaji na kuna ubakaji kwa maana ya kutumia nguvu na ubavu bila ya hiyari ya Mhusika

Adhabu zitofautishwe kidogo

Huyo Binti alimsaidia Makamu Mkuu wa Shule kwny uhalifu huo ndio sababu kelele za kuomba msaada zimepigwa na wanafunzi waliokuwa wanamwagilia bustan sio Binti mwenyewe

Binti akishaanza kuwa na Nyege maana yake yupo tayari kiakili kutaka hayo mambo japo anaweza asiwe tayari kiakili kujua afanye na nani na kwa wakati gani hivyo baadhi ya nyakati wao ndio wanaanza uchokozi ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi ya kindoano doano na kujibidua bidua akiona Mabaharia

We are making excuses for pedophiles now!?:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes: What does a 14 ears old child know to be able to fully consent with a GROWN adult!? Let alone an adult in a position of authority? An adult that was given the responsibility of teaching and protecting the child. A child who at that age is probably at the most vulnerable as far as figuring out what is going on with her body. I do not care what the child did or even what you think she did, bottom line there was only one adult involved in the situation and he failed the child in the most horrific of ways. Rapists, Pedophiles are all the same. Put the loser in jail and throw away the keys as far as I'm concerned
 
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.

Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.

Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.

Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
KIMSINGI WATU WOTE WANATAKIWA KUKUBALI JAPO WENGINE WATABISHA MAANA WANADHANI DAWA NI KUBISHA KILA KITU.!!!

UKWELI HAUTAFICHIKANA KWA SABABU NI KAMA MWANGA WA JUA KUUFICHA KWA KUZIBA NA MKONO NA UKICHAA.

TUTAENDELEA SANA KUSHUHUDIA VISA VYA UBAKAJI MPAKA PALEE WATOTO WALIOBALEGHE WA KIKE WATAKAPOTENGANISHWA NA WENZAO WA JINSIA YA KIUME, NA PIA WAKAFUNDISHWA NA WAALIMU WA KIKE WENZAO.

ILA UKILETA SERA HIYO UTASAKAMWA SANAAA. UTAAMBIWA UNABAGUA, UTAPIGIWA KILA SAMPULI YA KELELE!!!

SASA KWA SABABU HAKUNA UWEZEKANO WA KUBADILISHA HUO MFUMO WA KUCHANGANYA WALIMU NA WANAFUNZI WA JINSIA TOFAUTI, BASI TUTEGEMEE KUSHUHUDIA MATUKIO TUU.
 
Yani Mwalimu mkuu anamuingiza mwanafunzi wa kike 13yrs ofisini kupitia dirishani.......

Naye anapita hapo dirishanii...

Huku mlango wa ofisi amefunga yeye mwenyewe kwa nje...

Anambaka huko ofisine.

Noo... This is NOT POSSILE.

HATA WACHAWI HAWAWEZI LIELEWA HILI...
hii scene haipo kimpangilio mzuri kbsa
 
Maticha huu ubaharia wenu umezidi sasa, mwalimu mkuu msaidizi kabisa kijijini umekosa pin kali ya kutatua haja zako au kama huyo dogo ulimmind sana si ungesubiri alhamisi anamaliza pepa unaenda kumfanyia graduu magetoni. Punguzeni ngunga hzo
 
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.

Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.

Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.

Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
Nako katika shule ya msingi somanga wilaya ya kilwa Mkoa wa Lindi mwalimu Sadiki amefumwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wa darasa la saba walioweka kambi ya kujiandaa na mtihani. Mwalimu amekimbia baada ya tukio
 
Hizi kesi wa walimu kubaka mbona zimekua nyingi sana humu?
Hivi walimu wamekosa kazi? bongo wadada wanajiuza 1,000 wameshindwa wanaenda kubaka watoto, wtf is wrong with these people?
My instincts tell me these cases are cooked to inflict fear on teacher's with the same behavior - Dating school kids.
The relationship between the teachers and kids could be consensual, but the fact that one is a student, not to mention a kid and the other is a teacher and old makes it easy to convince people it was rape.

That way, no one will even think of instigating a romantic affair with a school kid.!
 
Well no one should have an affair with a primary school kid, regardless it’s consensual or not. They are underage and could easily be manipulated.
 
Well no one should have an affair with a primary school kid, regardless it’s consensual or not. They are underage and could easily be manipulated.
You have made it crystal clear. Simple words that anyone can understand, but my point was, why rape cases on teachers-students relationship increased rapidly over the few months ago.
I said, cases could be cooked up to inflict fear, which, in my opinion, is the best way possible to mitigate whatever sexual assaulting, whether consensual or not, those cruel teachers are doing to our kids.
Speaking of that, some parents, due to ignorance and poverty, when they discover their kid is having an affair with a teacher they threaten to accuse him of rape so he should pay some cash and bury the issue. Sad!
 
Mi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.

Who can explain this?

😆😆!! Nadhani siyo ‘brink’ tu ya ‘mental illness’ bali ni ‘mental illness’ kabisa!! Yaani hata mlango hakuuona akaamua kumzamishia ndani huyo mtoto na yeye mwenyewe kupitia dirishani????? Unbelievable! That proved to be his own unmaking. Wale watoto wengine wasingetia shaka kama wote wawili wangepita tu mlangoni. Kichaa chake kilipita mipaka siku hiyo!
 
mwalimu mkuu msaidizi kabisa kijijini umekosa pin kali ya kutatua haja zako au kama huyo dogo ulimmind sana si ungesubiri alhamisi anamaliza pepa unaenda kumfanyia graduu magetoni
Graduu magetoni?!!

Ndio lugha zenu hizi wafiraji wa watoto??
 
Nako katika shule ya msingi somanga wilaya ya kilwa Mkoa wa Lindi mwalimu Sadiki amefumwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wa darasa la saba walioweka kambi ya kujiandaa na mtihani. Mwalimu amekimbia baada ya tukio
Makubwa haya , na kazi ndiyo basi tena
 
Back
Top Bottom