Mara: Mwalimu Mkuu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

Wanasema Wachungaji watakula madhabahuni sasa Hapa waalimu wameamua wale Madarasani Yani mwendo wa kubaka tu watoto wetu Hivi kweli Hizi Genye mpaka unabaka huna mke??? Mamaee si upige hata nyetooo... Tena siku ya mtihani
Watu c mnazarau nyetoo, angepiga ingemuepusha na hivo vyote
 
Awa walimu wa miaka hii hawana wito watu ambao tumewaamino na kuwapa watoto wetu ndio waaribiifu wakubwa.
 
Nimewai kufundisha field form one mwanafunzi wakike anazingua makusudi ili umwite mbele ukimwita mbele kumpa adhabu akikusimamia kwanza kimo sawa then unaona kifua kimeelekea kwako unambia akakae asije fufua mengine ki-biolojia mwanamke akiwa kimo sawa na wewe tu iyo tiyari hatari, aya naandika ubaoni mwanafunzi anakuja mpaka distance zero nyuma yangu ukigeuga vibaya unagusa maziwa then anakuwaga Sir Toilet, kuna mmoja nikifundisha ananikonyeza hivi...iyo ndogo kuna mwengine uyo alikuwa ananitaka eti awezi niambia basi nikikaa ananiketea mikaranga nk, kuna mmoja form Three mtihani wake ajauwona anakuja ananiambia uku anabonga kama mwanafunzi mwenzie “Sir bana mtihani wangu nitafutie uko”...kuna dogo ndio yeye akabomoa kabisa akanitongoza......niishie hapo.
 
Awashukuru polisi kwa kumkamata maana wananchi wangemfanya hamna
chezea kanda maalum!

hivi kuna haja pia umri wa mwalimu kuanza kazi nao kuangaliwa na kurunzi kali eeh!

msichana wa miaka 14 mgongo, kiuno na miguu nado vimeungana kabisa. hada huku mikoani kwa lishe zetu za kichuri na mbaazi!!

ngoja tusingizie mfadhaiko kwanza kabla ya ripoti maalum za wataalam!
 
Nimewai kufundisha field form one mwanafunzi wakike anazingua makusudi ili umwite mbele ukimwita mbele kumpa adhabu akikusimamia kwanza kimo sawa then unaona kifua kimeelekea kwako unambia akakae asije fufua mengine ki-biolojia mwanamke akiwa kimo sawa na wewe tu iyo tiyari hatari, aya naandika ubaoni mwanafunzi anakuja mpaka distance zero nyuma yangu ukigeuga vibaya unagusa maziwa then anakuwaga Sir Toilet, kuna mmoja nikifundisha ananikonyeza hivi...iyo ndogo kuna mwengine uyo alikuwa ananitaka eti awezi niambia basi nikikaa ananiketea mikaranga nk, kuna mmoja form Three mtihani wake ajauwona anakuja ananiambia uku anabonga kama mwanafunzi mwenzie “Sir bana mtihani wangu nitafutie uko”...kuna dogo ndio yeye akabomoa kabisa akanitongoza......niishie hapo.

Kama hayo ni kweli basi kuwa mwalimu ni kaa la moto. Ndiyo maana ualimu ni wito. Kama huna nidhamu utapitisha mabinti za watu dirishani kama huyu mpuuzi halafu uishie kwenda jela.
 
MKUU WA KAYA NAOMBA UONGEZE MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA MAANA HIZI MOTISHA ZINGINE NI ZA KULAZIMISHA.
MSHAHARA UKITOSHA HATA TOTOZ ATAPATA BILA SHIDA NA HATAFANYA HIVI
Hivi MTU anatakiwa alipwe ujira wa kiasi gani cha fedha ili ujira huo ujulikane kuwa ni "mshahara unaotosha"???? Mshahara unaotosha ni kiasi gani cha fedha???

Suluhisho sahihi NA LA kudumu ni kila MTU kuwa na " Moral Attitudes ", lakini siyo kweli kwamba eti waajiriwa hususani walimu wakilipwa "mshahara unaotosha" basi vitendo hivi vitapungua, huo ni uongo.
 
KIMSINGI WATU WOTE WANATAKIWA KUKUBALI JAPO WENGINE WATABISHA MAANA WANADHANI DAWA NI KUBISHA KILA KITU.!!!

UKWELI HAUTAFICHIKANA KWA SABABU NI KAMA MWANGA WA JUA KUUFICHA KWA KUZIBA NA MKONO NA UKICHAA.

TUTAENDELEA SANA KUSHUHUDIA VISA VYA UBAKAJI MPAKA PALEE WATOTO WALIOBALEGHE WA KIKE WATAKAPOTENGANISHWA NA WENZAO WA JINSIA YA KIUME, NA PIA WAKAFUNDISHWA NA WAALIMU WA KIKE WENZAO.

ILA UKILETA SERA HIYO UTASAKAMWA SANAAA. UTAAMBIWA UNABAGUA, UTAPIGIWA KILA SAMPULI YA KELELE!!!

SASA KWA SABABU HAKUNA UWEZEKANO WA KUBADILISHA HUO MFUMO WA KUCHANGANYA WALIMU NA WANAFUNZI WA JINSIA TOFAUTI, BASI TUTEGEMEE KUSHUHUDIA MATUKIO TUU.

Why most of Tanzanians have very low and poor reasoning capacity?????
 
Back
Top Bottom